vikundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Wakulima undeni Vikundi vya Ushirika Ili muweze kukopesheka kwenye Mabenki kwaajili ya msimu Ujao wa Kilimo

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho. Mbunge Condester Sichalwe amewashauri wananchi kuunda vikundi vya ushirika ili wavitumie kama dhamana ya kuchukua...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Milioni 3 kwa Vikundi vya Ujasiriamali

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake Kata kwa Kata huku akifanya Mikutano ya hadhara kwa lengo la kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa Ilani ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uanaharakati, vikundi vya kigaidi na maandamano ni mfumo wa vurugu kuwasilisha sauti ya watu

    Rais Samia leo July 17, 2023 amefungua mkutano wa wadau wa demokrasia barani Afrika unaowahusisha viongozi wakuu wastaafu mjini Arusha. Sehemu ya hotuba yake ameongelea namna ambazo si nzuri katika kufikisha hisia za wananchi. Rais Samia: Kushindwa kwa Serikali kuhudumia mahitaji ya msingi...
  4. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kijaluba iSAVE Zanzibar kuwawezesha Walimu wa Vikundi kusaidia kukuza uwezo wa watu wenye ulemavu Kiuchumi

    KATIKA kuhakikisha lengo la kushughulikia vikwazo vinavyowarudisha nyuma watu wenye ulemavu kiuchumi katika jamii Zanzibar, walimu wa vikundi na wawakilishi wa jumuiya za watu wenye ulemavu wametakiwa kufanya kazi kwa ukaribu na watu hao kupitia vikundi vya hisa ili kuwawezesha kujiinua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

    Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha. Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Zaidi ya watu 100 wauawa baada ya vikundi vya wanamgambo kuvamia Wanakijiji

    Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba. Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100...
  7. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Hivi vikundi vinavyoanzishwa ndani ya CCM vinakwenda kuleta mgawanyiko ingawa mama anavifurahia

    Kumezuka mtindo sasa hivi ndani ya CCM vya watu kuanzisha vikundi vinavyojifungamanisha na mama na kujidai vinampigania. Yeye mwenyewe anasikia rahaaaa akijijua anapendwa na kutetewa kumbe lengo la vikundi hivi ni kutibu njaa zao na kutafuta ipendeleo wa madaraka na kuwatenga wengine. Sasa hivi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chini ya Uongozi wa Rais Samia, Vikundi 52 vyanufaika Arusha

    Msisitizo wa Rais Samia Suluhu ni 10% za mapato ya Halmashauri zitolewe kama mkopo kwa Vijana, wananawake na walemavu. Pesa hizo zinasaidia makundi hayo kujiajiri na kuendesha maisha yao ya kila siku. Mkoani Arusha milioni 404.5 zimetolewa kwa vikundi 52 vya ujasiriamali. Katika vikundi hivyo...
  9. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Vikundi vingi katika jamii ni changamoto

    Mimi Mdau wa JamiiForums ninasema hivi, vikundi vingi katika jamii ni changamoto. Vikundi vingi vimejikita katika: 1. Kusaidiana katika shida na raha, yaani hivi havina malengo zaidi ya kuchangishana pesa za misiba na sherehe mbalimbali ikiwemo harusi, sendoffs na birthdays. Changamoto kwenye...
  10. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rahisi kujisajili kwenye vikundi na kupata Mikopo ya 10% ya Halmashauri

    Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
  11. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

    Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
  12. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nina proposal kuhusu watu kila siku asubuhi kukaa vikundi na kubishania mpira

    Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya kupata chochote. Sasa kuna ile tabia ya watu wengi kila mkoa ukienda utaikuta ile asubuhi unakuta...
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

    Kwema Wakuu! Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana! Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
  15. ismaelmkay

    JamiiForums Tanzania SoC02 Responded Mikopo ya 10% isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali. Mapungufu na ufumbuzi

    Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Simiyu: RC Nawanda aagiza kuvifikisha mahakamani vikundi ambavyo havijarejesha kwa wakati mikopo ya 10% ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani. Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  19. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  20. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Beef zilizotikisa vikundi vya hip hop kwa enzi zile

    Wadau, Nianze na motive yangu ya 2022 UTAJIRI NI SIRI NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE Twende madani, mashabiki wazamani wa hip hop wanajua kulikuwa na vikundi vya hip hop matata sana na vilikuwa vina moto na amsha amsha nyingi sana kwa kipindi iko. Kuna vikundi kama Kikosi cha mizinga chini ya...
Back
Top Bottom