Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Ndugu wapendwa

Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti

Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi

Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure

Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa chochote mpaka sasa

Matokeo yake wakataka kila member kwenye kikundi atoe 27"000..Wa kig...na mbag... wakapinga

Wameikuja na tozo ya 6000 -10000 kila member achangie ili wakipata pesa watawapa waliochanga tu

Kila kikundi wapo watu 30-40

Na vipo vikundi 100+

Inavyoonekana n channel ndefu.

..#Serikali isaidie wananchi wake wasije tendwa kama upatu

Wengine hatukuwahi toa sadaka milioni ila upatu zilienda

Hii michango ya nini kama mmejipanga kusaidia wananchiii?

Yapo mengine yanajitangaza kusaidia vifaa vya kilimo ..Mboolea nk...Sasa wameanza kuchangisha watu mikoa mbali mbali

Muwe makini wapendwa ..Kama wana hela za vifaranga vyakula vyake/ mboolea na vifaa vya kilimo bure

Hawahitaji 7000-10000 zenu kuwa member mpate vituhusika amkeni

Hongera walioshtuka wakakimbia mapema.

Yajayo yanafurahisha sana

Watchout
 
Uwandishi wako humu huwa ni duh!! Ila hii ni duuuuuuuh! huwaonei huruma bale watashindwa kukuelewa? 😃
 
Ndugu wapendwa
Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti

HIVI sasa Kuna makampuni yanajitangaza kutoa VIFARANGA/VYAKULA VYAKE BURE KWA WANANCHI

WAMEANZA KUKUSANYA WATU KILA KONA YA TANZANIA WAKIHADAA KUWAPA VIFARANGA NA VYAKULA BURE

BAADA YA KUFIKIA MALENGO YA IDADI..VILE VIKUNDI HAVIJAPEWA CHOCHOTE MPAKA SASA

MATOKEO YAKE WAKATAKA KILA MEMBER KWENYE KIKUNDI ATOE 27"000..WA KIG...NA MBAG... WAKAPINGA

WAMEIKUJA NA TOXO YA 6000 -10000 KILA MEMBER ACHANGIE ILI WAKIPATA PESA WATAWAPA WALIOCHANGA TU
KILA KIKUNDI WAPO WATU 30-40

NA VIPO VIKUNDI 100+

INAVYOONEKANA N CHANNEL NDEFU.

..#SERIKALI ISAIDIE WANANCHI WAKE WASIJETENDWA KAMA UPATU

WENGINE ATUKUWAHI TOA SADAKA MILION ILA UPATU ZILIENDA

HII MICHANGO YA NN KAMA MMEJIPANGA KUSAIDIA WANANCHIII???

YAPO MENGINE YANAJITANGAZA KUSAIDIA VIFAA VYA KILIMO ..MBOOLEA NK...SASA WAMEANZA KUCHANGISHA WATU MIKOA MBALI MBALI

MUWE MAKINI WAPENDWA ..KAMA WANAHELA ZA VIFARANGA VYAKULA VYAKE/ MBOOLEA NA VIFAA VYA KILIMO BURE

HAWAITAJI 7000-10000 ZENU KUWA MEMBER MPATE VITUHUSIKA AMKENI

HONGERA WALIOSHTUKA WAKAKIMBIA MAPEMA..YAJAYO YANAFURAHISHA SANA

WATCHOUT
Ukiitiwa fursa ujue wewe ndio fursa,vya bure kamdai mzazi wako
 
Pole kwao. Japo sijui kunakuwaga na nini huko sababu watu kama hao wakishaingiaga huko hawatoki mpaka wapigwe.
 
Bure aghali! Mtu akupe vifaranga bureeeee!
Wa mserereko Bana! Kisha wanakuwa wa kwanza kulalamika!

Nasema hivi wapigwe Tu, waibieni Tu, yaani waibieni hao wapenda mserereko mpaka wajikute wapo mufilisi!
Pambafu
 
Bure aghali! Mtu akupe vifaranga bureeeee!
Wa mserereko Bana! Kisha wanakuwa wa kwanza kulalamika!

Nasema hivi wapigwe Tu, waibieni Tu, yaani waibieni hao wapenda mserereko mpaka wajikute wapo mufilisi!
Pambafu

Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu

Tuchape Kazi

Baadaye Utasikia Wakilalama
 
Back
Top Bottom