vijiji

Operation Vijiji (Operation Villagisation) was an exercise in social engineering carried out in post-colonial Tanzania in 1973. The operation involved the relocation, sometimes forced, of many thousands of rural Tanzanians to Ujamaa villages in order to facilitate communal farming and common services. The intention was that the whole rural population would move by 1976. The project was, and still is, controversial and was abandoned in the 1980s. Many people then attempted to return to their former homes, leading to widespread land disputes.

View More On Wikipedia.org
  1. AbuuMaryam

    Tunaomba Serikali ilizingatie hili katika ajira kwa maafisa watendaji wa Serikali za vijiji na mitaa

    Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba. Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kiongozi Mkoa wa Tabora apingana na agizo la timu ya Mawaziri 8 kuhusu Vijiji vya Kakoko na Usinga

    "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri...
  3. N

    Rais Samia amevipa vijiji kipaumbele katika utekelezaji wa miradi ya umeme

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini. Ukamilishaji wa miradi hii ni December mwaka huu
  4. M

    Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  5. JanguKamaJangu

    Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

    Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji. Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai...
  6. J

    DG - RUWASA awaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe kwa kucheleweshewa huduma ya maji

    Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu. “Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
  7. Roving Journalist

    Serikali kufuta vijiji vyote vilivyo ndani ya Mipaka ya Pori Tengefu Loliondo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine. Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa...
  8. BARD AI

    Kiini cha mgogoro uliosababisha kufutwa vijiji 5 na vitongoji 47 Mbarali

    Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali. Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti. Katika...
  9. Sildenafil Citrate

    Utafiti tofauti ya kinga wanaoishi mijini na vijiji kufanyika

    Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo. Wataalamu hao ni kutoka Taasisi ya Utafiti (KCRI), hospitali ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na...
  10. R

    Kukua kwa miji na kumezwa vijiji vya wakulima (urbanisation at the expense of peasants livelihood) Tanzania

    Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja. Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of...
  11. peno hasegawa

    Wenyeviti wa vijiji Ngorongoro wasema hawajakubaliana kuondoka, Hawakusikilizwa na Waziri Mkuu

    Wasikilize… Wenyeviti wa Vijiji huko Ngorongoro wamesema walipewa muda mdogo kusikilizwa na waziri Mkuu katika Mkutano. Na wamesema hawajakubaliana kuondoka eneo hilo kama ilivyoonekana kwa baadhi ya watu ambao walionesha kuwa tayari kuondoka katika hifadhi hiyo. ===================...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  13. Dr Msaka Habari

    Mgodi wa Almasi wa Williamson watangaza kuanzisha mahusiano mapya na vijiji 12

    Na. Mwandishi Wetu, Shinyanga. MIGOGORO ya mara kwa mara kati ya Kampuni ya Williamson Diamonds Ltd iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na wakazi wa vijiji 12 vinavyouzunguka mgodi huo hatimaye huenda ikafikia ukomo. Hali hiyo imebainishwa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya...
  14. L

    China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  15. Chiwaso

    Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

    Habri za Mchana Wakuu, Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta. Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa...
  16. L

    “Upatikanaji wa matangazo ya TV katika vijiji elfu 10” wawezesha watu wa Afrika kutazama mechi nyumbani

    Tarehe 6 Februari ni siku muhimu kwa shabiki mkubwa wa soka Jackson Ndongo. Yeye na wanakijiji wenzake walitazama fainali ya Kombe la Afrika 2022 iliyofanyika Yaounde, mji mkuu wa Cameroon mbele ya televisheni kijijini, wakinywa mvinyo wa mawese. Katika mwezi uliopita, kutazama mechi ulikuwa...
  17. FRANCIS DA DON

    Napendekeza vijiji vyote kila wilaya wahamie kwenye kijiji kimoja teule, vijiji vingine vibaki mashamba tu

    Ukipeleka mnara mmoja wa simu unahudumia vijiji 20 kwa mpigo. Ni hayo tu, labda kama kuna mengine ya kuongezea
  18. Chachu Ombara

    Lamu: Takriban watu 6 wauawa na vijiji kuchomwa moto na wanamgambo wa Al Shabaab

    Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya. --- Six people have been killed and homes torched in an attack Monday by suspected Al Shabaab militants in Kenya's coastal Lamu region that borders...
  19. mshale21

    RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  20. M

    Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

    Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges. Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
Back
Top Bottom