Habari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao
hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
Habari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao.
Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
Huu utaratibu wa mawaziri,manaibu waziri na viongozi wengine kuwasimanga vijana kwamba ni watumia pombe unapaswa kukemewa sana. Naongea hivi nikiwa na sababu za msingi kadhaa;
1) Si kweli kwamba vijana wote ambao maisha yamewachapa na kuangukia kwenye pombe ni wavivu kufanya kazi. Wapo wachapa...
Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20%
Tasfiri yake...
Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya,
Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule.
Yesu tusaidie wanaume.
Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3...
Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie.
Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk.
Motivational Speakers...
Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii.
Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
Tukiwakataza vijana wasichukulie mapenzi serious hawaelewi.
Huko Dodoma kijana mmoja kamchinja mpenzi wake na kisha kujichoma kisu tumboni na kufariki sababu ikiwa ni wivu wa mapenzi.
Kijana alivyo mpumbavu ameshajichoma kisu utumbo uko nje akaanza kupiga kelele kuomba msaada wa kupelekwa...
Kwa namna gani vijana wanaweza kutumia uwezo wao ipasavyo ili kutimiza ndoto/njozi/malengo yao bila kurudishwa nyuma na mazingira au changamoto katika jamii wanayoishi? Swali hili limekuwa likishughulisha kituo chetu cha ushauri, katika juhudi ya kuwezesha vijana katika maisha yao. Naam...
Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo?
Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu, maana hawana uzoefu wowote wa biashara.
"The younger you start, the more successful you'll be".
Kujiajiri ni jambo linalofaa na kama unatengeneza brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora, utafanikiwa sana miaka 5 tu mbele...
Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali.
Wakagundua...
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi...
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,
Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k
Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.
Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
YALIYOJIRI KIKAO CHA MBUNGE CHEGE NA VIJANA WA MAKAMBI WA CCM WILAYA YA RORYA KATA YA KIROGO
- Mbunge katoa Ng’ombe kwa ajili ya shughuli ya vijana.
- Mbunge kachangia laki 5 kwa ajili ya kuunda ushirika mpya kwa vijana hawa na mchango wa nauli.
- Mbunge kawahamasisha vijana kuunda KIKUNDI...
Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
Kwema Wakuu!
Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.
Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo;
1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda...
Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana.
Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto nje. Miaka ya babu zetu tulikuwa tunaona sana Kijana akienda kuchumbia mwali, huko wote wakiwa hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.