vijana

  1. Madiwani Rungwe watakiwa kusimamia utoaji mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo. Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
  2. N

    Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms). WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
  3. Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika Programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza

    Tarehe 23 Februari, 2023 Jijini Dodoma, Wizara ya Kilimo imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo biashara...
  4. Asilimia 96 ya vijana walioomba Mafunzo ya Kilimo (BBT) wakosa nafasi, waliochaguliwa watangazwa

    Miongoni mwa vijana 20,227 waliojitokeza kuomba nafasi ya mafunzo ya Kujenga Kesho Mpya kupitia kilimo biashara (Building Better Tomorrow-BBT), ni vijana 812 tu ndio waliopata nafasi sawa na asilimia 4. Dirisha hilo lilifunguliwa Januari 10, 2023 na Wizara ya kilimo ikiwa ni maelekezo ya Rais...
  5. TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  6. M

    Natafuta vijana kwa ajili ya kufanya Delivery, Dar es Salaam

    Wakuu kwema wanahitajika vijana kwa ajili ya kufanya delivery katika jiji la Dar es Salaam umri ni kuanzia miaka 20 mpaka miaka 27 na lazima wawe na ujuzi wa kuendesha pikipiki Kwa mawasiliano piga namba 0652111609
  7. N

    Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  8. Vijana wadogo wakamatwa kwa ujangili, waua Twiga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
  9. Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
  10. Vijana wa leo na kupuuza mila zetu, tuwaelimishe bado hatujachelewa, wanapotea

    Hii topic ni ya mahusiano, suitable for MMU. Ulimwengu na Taifa letu Kwa ujumla linapitia katika transformation kubwa ambayo ina athari kubwa sana, Sasa Kwa ambao at least tumezaliwa miaka ya 70's au nyuma zaidi tuna wajibu wa kushare experience na kuwapa muongozo vijana wa leo. Nimewiwa...
  11. Wanahitajika vijana wa Marketing & Sales Internship

    Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua huduma mpya ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dar kwenda nchi nzima na nchi jirani, pia Wamefungua...
  12. Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Ninawaza ni jinsi gani maisha yamebadilika na kwa jinsi ninavyokaa na vijana kuwasikiliza mawazo yao, ninapata majibu kuwa miaka 10 ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani na vifo kutokana na changamoto ya Afya ya akili vitaongezeka sana.
  13. Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

    Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia. Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu; 1. Ni...
  14. K

    Vijana tafuteni partner sio mke

    Nawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume. Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa jirani na wewe ambaye atakusaidia mambo fulani yaende. Usifunge ndoa, Ishi naye akiwa hajui kama...
  15. TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

    Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi. Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na...
  16. Mwigulu ni Daktari wa Uchumi, Inakuaje tatizo la ajira kwa vijana linamtoa jasho? Inakuwaje ugumu wa maisha mtaani unamtoa jasho?

    Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni moja wa MaDr wakubwa wa uchumi tulio nao hapa nchini. Tunajivunia. Bahati nzuri kwake yupo kabisa kwenye 'core system' yaani ni policy maker mwenyewe hivyo hana cha kusingizia. Je, kwa uwezo wake wa kitaaluma kwenye masuala ya kiuchumi, imekuaje...
  17. Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  18. Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  19. Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
  20. Vijana oeni, acheni janja janja

    Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa. Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…