vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi
  2. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili vijana wajiajiri kupitia michezo?

    Michezo ni moja ya nguzo kuu katika maisha ya vijana ambayo humkuza kijana kiakili,kimwili,kitabia na kijamii. Licha ya serikali kutoa mchango mkubwa ili kukuza michezo kwa vijana nchini, ombwe linabaki katika kuendeleza kipaji kwa kijana mwenye ndoto ya kuwa mchezaji mkubwa. Katika awamu hii...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga, wanaongoza kundi la vijana waoga wenzao waliokata tamaa

    Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nitaendendealea kutoa mfulizo wa Changamoto za kampuni ya BRAC kwa vijana Waajiriwa wa hiyo kampuni

    Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  8. JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema juu ya ufaulu mzuri wa vijana kidato cha sita kwa miaka ya karibuni. Kuangalia haraka inaonekana point "3" kwa combi ya PMC hakuna

    Je ni hasa chazo cha ufaulu ? Teknolojia Aina ya mitihani Malengo ya wahisani Tiririka
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

    Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous Vijana wamevurugwa mentally. Vijana wengi hawana sexual awareness Vijana wengi wanateseka na uraibu Vijana wengi wanateswa na mahusiano Vijana wengi wanatepelika kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  12. JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi kampuni ya mikopo inavyotunyanyasa wafanyakazi wake

    Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar. Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
  14. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

  15. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma wazee ndio walikuwa na taitizo la nguvu za kiume. Now days ni vijana wadogo sababu ya Pombe na madawa ya kulevya

    Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa una kuta hawezi kupafom hii ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya.
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

    Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue. imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili. Wanaume wakiona hupata picha...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao. Tulia; 1. Pata ujuzi (au wazo la biashara) 2. Anza 3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA Utajishukuru ukiwa 32+ (& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI...
  19. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ya msingi kwa vijana wetu nani alaumiwe? Wazazi/walezi ama usasa?

    Nazungumzia kwa uzoefu wa mitaani, kwenye jamii, mitandaoni na kama mzazi na mlezi Mitaani na kwenye jamii usasa ndio umeshika hatamu si kwa wazazi/walezi wala watoto wenyewe Wazazi na walezi kutokana na utandawazi na harakati za maisha hatuna muda wa kukaa na watoto wetu na kuwafunza mambo ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanaweza kufanikisha Maandamano ya 7/7. Kimsingi hayazuiliki kama yataanzia ndani ya viwanja vya Sabasaba

    Kabla ya kuendelea nianze kwa kusema, huu ni uchambuzi tu. Nitaanza kwa neno hili "herd behavior" hii ni tabia maalum ambayo kila binadamu anayo, kwa lugha ya kizungu hutafsiriwa hivi What herd behavior means: It's the tendency of individuals to copy what the crowd is doing rather than...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…