vijana

  1. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wawavutia Vijana wa Gen Z

    Vijana wa Gen Z wamepongeza ununuzi wa gari mpya na za kisasa za Aina ya Range Rover kwenye msafara wa Mheshimiwa Rais. Hakika tunaweza. Kazi na Utu
  2. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuungana na Vijana wenzangu katika kulipambania Taifa ila.....?

    VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means. Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
  3. JamiiForums Tanzania Mmeua, mmeteka, Ufisadi, wizi, unyonyaji, MME dhurumu haki za watu kuishi. Kwa hiyo vijana waopinga aya ndo Mnataka tuwaone Wabaya?

    Serious mnataka hawa vijana ndo tuwaone wabaya wanaopinga haya mambo wizi, Ufisadi, Utekaji, mauaji, rushwa uduma mbovu kwenye office za Umma ubakaji demokrasia. Vijana waopambana kupinga haya ndo Mnataka tuwaone ndo wabaya?
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu wa Katoliki: Hii ndio Tanzania mpya ya kazi na utu? Mnaofikiri kuua ndio kujibu maswali ya Watanzania, mnakosea

    Wakuu, Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani? "Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

    Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani? Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita...
  6. JamiiForums Tanzania #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi. Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu. Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

    Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii.. Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote.. Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
  8. JamiiForums Tanzania PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana acheni kujiingiza kwenye uhalifu na kutowasikiliza watu wasioitakia mema nchi yetu

    Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za CCM mkoa wa Dodoma leo tarehe 15 novemba 2025 Mbunge huyo amesema. Serikali imetoa billion 200...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba iliwalenga vijana sana sijajua ilikuwa kwa makusudi au bahati mbaya

    Hotuba iliwalenga vijana sana sijajua ilikuwa kwa makusudi au bahati mbaya . Nahisi vijana wamekuwa kundi lilosahulika. Jaribuni kujua mahitaji ya msingi na muwapatie. Kuwapa waziri sifikirii kama inatosha . Kudharau wasomi, kuwaita kumamako n.k imechochea chuki Mama Tanzania kwanza.
  11. JamiiForums Tanzania Hiyo Wizara ya Vijana itakuwa na tofauti gani na UVCCM?

    Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ... Shida ya Nchi hii ni CCM Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara.. Kwanini? Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza, Utu/watu baadae... Hiyo ndio slogan yao.. Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana hatuandamani

    Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  15. JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi kwa kijana anayeweza kutunza mifugo

    FURSA FURSA Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk Majukumu Kuandaa malisho ya wanyama Kulisha wanyama Mshahara: 100,000 Kula na kulala buree Vigezo: usiwe na umri wa zaidi ya miaka 22 Piga:0765 049 904
  16. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Waliotufungia ndani ni wenzetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu

    Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu". Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndo zinawafanya vijana waone D9 ni mbali sana

    GT Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee. Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kinachohitajika sasa ni ukweli, haki na uwajibikaji, tusiwalaumu vijana ni waathirika wa mifumo

    Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu watatoka kwa namna gani mahali walipo kwa sasa, na sio kuanza kuwalaumu Vijana ‎ ‎Akizungumza na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yakija vijana tugome kuongozwa na wazee

    Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani. Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya Mwangalie Traore Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana. Ukizeeka thinking capacity yako inakufa Ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…