vijana

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia asisitiza "Tupeni miili ya vijana wetu tuwazike"

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia amesema hali iliyojitokeza siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, si suala la kisiasa pekee bali ni “maumivu ya wananchi walio wengi dhidi ya wachache”, kutokana na hali hiyo kugubikwa na maumivu, vifo- miongoni mwa mambo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wali wadhihaki vijana kwamba hawana la kufanya on 29th. Mko wapi sasa?

    😁😁 mna hali gani huko?
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema awashauri vijana, wakimaliza kupiga kura, warudi nyumbani wakalale

  9. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

    Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni mazoezi

    Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu. Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29 kitampata kitu. Nimefanikiwa kununua Lita 5 za petrol, Bunda la viberiti, Elementi, na vifaa vingine...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  14. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kuna neema inakuja kwa baadhi ya vijana, katika ushirikiano wa kimataifa

    Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania U-single sugu (loneliness epidemic), ni janga linalokua kwa kasi miongoni mwa vijana

    Za weekend Sometimes u-single ni kitu kizuri, ila u single sugu ndo ninaouzungumzia hapa/au kwa namna ingine naweza iita (loneliness epidemic) among vijana wa kike na wa kiume ni kubwa, vijana wengi wakiwa kwenye umri wa kuoa au kuolewa..hawana kabisa watu wa kufunga nao pingu za maisha, saa...
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nashauri polisi watupe mafunzo ya muda vijana tuongeze nguvu Oktober 29

    Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua Oktober...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

    QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo. "Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
  18. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

    Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani? Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha makubaliano kwahiyo wenzao wameamua kuwamaliza? Maana wakati mwingine nao ndugu zetu bodaboda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
Back
Top Bottom