vijana

  1. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wafunzeni adabu vijana wenu kuwaheshimu wazee wetu

    Kitendo cha Kihongosi kumfokea Mzee Warioba kwa sababu tu katoa maoni tofauti na chama chake CCM si cha kiungwana kinatakiwa kukemewa na jamii nzima na wapenda haki wote. Mzee hanuniwi mzee hafokewi hata kama kakosea kuna njia nzuri na sahihi za kumueleza. Kiumri Kihongosi ni mjukuu wa Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Mnyika: Vijana watumie nguvu yao kutetea haki na kuleta mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekichambua kizazi cha vijana (Gen-Z) kama silaha kuu na yenye nguvu zaidi katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, akitaja sifa tatu za kipekee zinazowafanya kuwa mstari wa mbele. Akizungumza leo...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Vijana wa sasa wananguvu kubwa katika nchi na wataleta mabadiliko

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
  5. JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

    Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA? Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini? Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa? Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
  6. JamiiForums Tanzania Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Somo kwa Watoto wetu,vilaza waliopata fursa na vijana mnaochipukia!

    Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  10. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kombo: Watanzania tunaomba michango kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani

    Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani.
  12. JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ina vijana wanashindwa tamka petition wanasema petrol station na ndio wanufaika wa mikopo 10%

    Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
  15. JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  16. JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

  18. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
  19. JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…