vijana

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  2. JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana msiooa kuna ujumbe wenu hapa.

    Ujumbe wenu huu hapa chini 👇👇
  5. JamiiForums Tanzania JKT na Magereza jiongezeni; msifanye miradi midogo midogo ambayo ni fursa za vijana

    Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani. Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa. Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
  6. JamiiForums Tanzania Makosa ya Kifedha yanayofanywa na vijana wengi

    1. Kutumia Fedha uliyoipata kabla ya kuweka Akiba: Msemo wa 'Ponda Mali kufa kwaja' au 'Nimepata pesa hii kwa shida, acha nitumie' hupelekea Vijana wengi kufanya Matumizi yasiyo na ulazima na kukosa Akiba 2. Kutupa Risiti (Stakabadhi za Malipo): Unaweza kudhani risiti za vitu unavyonunua hazina...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wacheza kareti wengi Bongo wako rafu, wanavuta bhangi, hawana maisha, ni vijana ambao wapo wapo tu?

    Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi. Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kero katika jamii lakini hawa vijana mabishoo nao pia wana umuhimu wao.

    Kero zaoa mara nyingi ni kuwa wavivu, kuvuta bangi, kukataa mimba, n.k. umuhimu wao sasa. mimi hawakubali sana maana ni kiboko ya nyodo Hawa ndio wale wanajua kuwanyoosha vile vidada vi sley Queen vya mjini wanavipa mimba vinarudi bushi kulea. Yani hao ndio wanajua kupunguza speed ya viruka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji

    Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji.
  10. JamiiForums Tanzania Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  12. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani kila mwaka

    Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Vijana: Usiishi Kama mwenyeji

    "USIISHI KAMA MWENYEJI" Anaandika Robert Heriel, Mwanafalsafa. Moja ya makosa makuu tunayoyakosea Vijana wa Zama za leo tuendapo Mijini au nchi za mbali, ughaibuni kutafuta maisha mazuri Kwa. Ajili yetu na familia zetu ni pamoja na "kuishi Kama wenyeji" mara tuu tufikapo ugenini, Mijini. Hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo. Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh...
  15. JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  19. JamiiForums Tanzania Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni

    Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni: Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu. Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha watu(chama) kilichomweka kwenye nafasi hiyo, kwa mantiki hiyo pia Sishangazwi na jinsi anavyotupuuza wana...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

    Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa. Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni. Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…