vijana

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
  2. nyboma

    JamiiForums Tanzania Vijana brand ambayo umeijenga kwa miaka zaidi ya 20 usiruhusu iharibiwe kwaa uepesi

    Kwa ufupi ikiwezekana kuwa katili, na mtu akikuletea ubishi mtangulize kuzimu. Leo nimechukua sana.
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Iringa: Vijana waeleza wanatishiwa na wazazi wao wakitaka kuomba mikopo

    Imeelezwa kuwa kutokana na uelewa mdogo na hofu ya baadhi ya wazazi juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi nyingine za kifedha imesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya vijana katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambao wamekuwa wakizuiwa na wazazi wao...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

  5. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania "Fix" nyingi za Viongozi wetu mbeleni zinaenda kuua Taifa. Tuwafundishe Historia ya kweli vijana wetu

    1. Madarasa, madawati, hospitali, maji ya Samia. Vya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli havisemwi, kana kwamba hawakufanya lolote. 2. Viongozi wengi Uchaguzi 2020 walipitishwa tuu kwa nguvu nguvu, uwongo unatamalaki, vijana wetu wanaona, kesho na wao watadanganya vivyo hivyo. 3...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana? Pia, soma; https://www.jamiiforums.com/threads/dar-vijana-watano-wamepotea-katika-mazingira-ya-kutatanisha.1950163/
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Vijana Wajiajiri na hamtoi Elimu wala hamuwadhibiti ipasavyo mnategemea nini? Watavunjika na Watakufa sana tu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya. Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi). Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa. Kuna wale mabraza wa mtaa. Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home. Na mabraza wengine...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Wilaya apiga marufuku vijana kushinda vijiweni

    Serikali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imewataka vijana kupitia mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuunda vikundi vya kiuchumi ili kunufaika na mikopo isiyo na riba toka Halmashauri badala ya kukaa vijiweni bila kazi. Rai hiyo ilitolewa jana Machi 9, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  18. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana msiooa kuna ujumbe wenu hapa.

    Ujumbe wenu huu hapa chini 👇👇
  20. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania JKT na Magereza jiongezeni; msifanye miradi midogo midogo ambayo ni fursa za vijana

    Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani. Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa. Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
Back
Top Bottom