Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,897
- 941
DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING
Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021.
MGENI RASMI
Comrade KENANI KIHONGOSI ambaye ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa.
Jogging itaanza saa 12:00 asubuhi kwa kuanzia Viwanja vya Mwembe yanga na kumalizia Uwanja wa Uhuru.
KAULI MBIU
"VIJANA TUPO MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19, TUNAENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA UTENDAJI KAZI WA MHE.RAIS SAMIA"
Imetolewa na
Katibu wa Hamasa na Chipukizi
Ndg.Ally M.Ummy.