Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo Nchini humo.
Baada ya kifo cha mwanamuziki Chu Lanlan (40), hivi karibuni, familia ya msanii huyo...