Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,218
10,980
Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.

Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.

Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi Wapalestina wanavyouliwa.

Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.

Je, inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
 
Tanzania si nchi ya siasa kali za kidini na si mwanachama wa ile jumuiya ya dini ya kimataifa kiasi ione mwanachama wake huyo anaumizwa na ichukue hatua za kumrudisha balozi wake nyumbani.

Hatutaki kuwa na upande mmoja katika mzozo huo wenye sura ya kidini. Israel ni washirika wetu katika maendeleo yetu sambamba na palestina.

Bora Tanzania kuwa msuluhishi wa mzozo huo kuliko kujititimua kupendelea Palestina tu.
 
Watu wakiandamana kwani inatoa maana kuwa Tanzania imechukua upande fulani.
 
Ni nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina. Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata Palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana.

Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka.

Je, Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
 
Brother hamna kitu kibaya kama umasikini kwani unaweza kukufanya ukaona tajiri yako anampiga shangazi yako makofi, then akishamaliza kumpiga na wewe unaenda kumuongezea alafu baadae mkiwa nyumbani unaenda kumkanda na kumpa pole kesho kazini kwa boss unafanya kama humuoni.
 
Ni nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina... Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana... Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka... Je Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
Kongo kazi ni rahisi.Na tayari tumeshapeleka vikosi vyetu kushiriki kuzuia vita.Kule Palestina iwapo hatuna ubavu kupeleka vikosi basi angalau tujtoe kimasomaso kwa kuandamana halafu tukae tuangalie hali inavyokwenda.
 
Huko Sudan kwwnyewe janjaweed
Wanawaua watu weusi lakini huwasiki
Wale wanaharakati wakisema lolote

Ova
 
Kongo kazi ni rahisi.Na tayari tumeshapeleka vikosi vyetu kushiriki kuzuia vita.Kule Palestina iwapo hatuna ubavu kupeleka vikosi basi angalau tujtoe kimasomaso kwa kuandamana halafu tukae tuangalie hali inavyokwenda.
Sudan je

Ova
 
Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Lakini Tukumbuke kuna watanzania ambao mpaka sasa wanashikiliwa mateka huko palestina
 
Sudan je

Ova
Nako ni hivyo hivyo.Na pia sijawahi kusikia kuwa kuna watu walitaka kuandamana kuhusu Sudan na wakazuiwa.Lakini watu wanaotaka kuandamana kuhusu Palestina ndio hao wapo kwa maelfu.
 
Akili yako imekaa kikafiri zaidi tena kafiri mvaa madera. Kwahyo unataka watu waache kazi zao waqndamane kwani tz ilituma mtu wakashambuliane huko iweje ianze kukemea wakati hatanikikemea haibadili kitu. Ukiona unateseka kama hao wanaouliwa huko basi nenda kawatetee au mtume allah akawatetee
 
Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Kwahiyo hao HAMAS walianza vita ili sisi tuwaonee huruma. Walivianzisha wenyewe, wavimalize wenyewe.
 
Hawajaomba kuhurumiwa.Huruma ni wajibu wetu kutokana na kuuliwa watu ambao si Hamas na wengi wakiwa ni watoto wadogo.
Ingekuwa wanaouliwa ni Hamas basi huenda tungechukua jukumu tofauti na sasa.
 
Kweli. Na kwa hilo ushauri wako ungeenda kwa HAMAS kuwa waache kufanya uhalifu Kisha waende kujificha nyuma ya akina mama na watoto. Huo ujanja wao ushagundulika siku nyingi. Wapambane na wanajeshi wa Israel ana kwa ana kama wanaume. Wakiendelea kujificha nyuma ya akina mama na watoto, basi hakuna jinsi ni wote kutandikwa tu!
 
Ni nchi gani ya Afrika iliyoandamana kisa Palestina... Mnataka watanzania tuonekane ni waafrika tusiokuwa na Akili timamu, Congo kila siku watu wanauwawa kuzidi hata palestina lakini hujawai hata kuthubutu kuandamana... Leo hii Dini yako inakushirutisha uandamane kisa waarabu kwa sababu ndiko dini ilikotoka... Je Dini yako inazungumziaje kuhusu upendo, kwamba uandamane kisa waarabu tu, ila wakongo wafe tu
sasa mhaya kwa nini usiandae maandamamano ya kuunga mkono israel kwa kuwa ukiristo umetokea huko
 
Lakini Tukumbuke kuna watanzania ambao mpaka sasa wanashikiliwa mateka huko palestina
Nashangaa misikitini hilo hawa8ni hao akina shehe Ponda na wengineo

Watanzania wetu wawili.Mtenga na Mollel wanashililiwa mateka na Hamas

Wako kimya
 
Kwahiyo hao HAMAS walianza vita ili sisi tuwaonee huruma. Walivianzisha wenyewe, wavimalize wenyewe.
Nchi nyingi za kiarabu zimetoa msimam .huo huo na hawataki kupokea wakimbizi toka Gaza wanaogopa kupokea magaidi

Wanasema Hamas walipoanzisha hiyo.vita hawakuwashirikisha hizo nchi nyingine za kiarabu basi wamalize hilo tatizo wenyewe
 
Watu wakiandamana kwani inatoa maana kuwa Tanzania imechukua upande fulani
Hivi bado hujui kuwa ile Tanzania yenye viongozi wenye maono na misimamo imara ilizikwa na Nyerere? Leo nimesoma mpaka raia Macron wa France amesema Israel iache kuua watoto wa kipalestina. Mimi nashanga watanzania wajinga wasio na utu bali wanashabikia uuaji huu. Imagine uko nyumbani kwako na watoto wako hujafanya kosa lolote mara paa nyumba inapigwa na bomu na familia yako yote inateketea. Maandamo ya kina Ponda waliyokataza yanaonyesha jinsi tulivyo na serikali ya wababaishaji na waoga.
 
Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.Jee inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.
Sisi tunaguswa na vifo vya wakongo ndio ndugu zetu hao magaidi kichapo ni halal yao
 
Back
Top Bottom