vifaa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  3. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  4. amudamud

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿i 𝗡𝗱𝘂𝗴𝘂, 𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔👉👉👉👉🔥🔥 𝗕𝗜𝗚𝗜𝗧𝗘𝗖𝗛 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗲𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘇𝗮 𝗩𝗶𝗳𝗮𝗮 𝘃𝘆𝗮 𝗞𝗼𝗺𝗽𝘆𝘂𝘁𝗮 ( 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 & 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽 ) 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂. 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘂𝘇𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗽𝘁𝗲𝗿, 𝗕𝗲𝘁𝗿𝗶, 𝗥𝗮𝗺, 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 & 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗛𝗗𝗗 ( 𝘂𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 ), 𝗠𝗼𝘂𝘀𝗲, 𝗞𝗲𝘆𝗵𝗼𝗮𝗿𝗱, 𝗩𝗶𝗼𝗼, 𝗦𝘆𝘀𝘁𝗲𝗺 𝗖𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲, 𝗛𝗱𝗺𝗶, 𝗩𝗚𝗔, 𝗗𝗩𝗜 𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲𝘀, 𝗖𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮, 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 𝗻𝗮 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽. 𝗣𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  7. LugaMika

    JamiiForums Tanzania Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. ★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya Stationery

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  9. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Nauza Printer 🖨 ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality 💯 Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  10. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusakinisha FONTS maalum katika Samsung one UI 6 au 5.1 Vifaa (Fonti 600+)

    Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe asema kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kinatengeneza aina zote za vifaa vya chuma, hakuna sababu ya kwenda China

    "Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya muziki bei nafuu. Gitaa, Effect, Combo na Waya 1 million tu

    Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu. 1. Gitaa la Solo 2. Solo/Rythim gitaa Combo 3. Solo Gitaa Effect Pedal 4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1 5. HDMI mpya. Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ufundi selemala vinauzwa

    Vifaa vya ufundi Vyote 100,000 1)Spray gun ya umeme 2)Jigsaw 3)Clamp mbili za ukubwa wa 50*200 Mahali Dar es salaam Mawasiliano:0658 106 630
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Natoa kero yangu kwenye hospitali za wachina / wakorea, hawathamini kabisa privacy / usiri wa wagonjwa + maadili, hutuchukulia kama vifaa na sio watu

    Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves. Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka, Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni...
Back
Top Bottom