Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

mossTV

Member
Apr 10, 2023
55
35
  • TV yako haiwaki?
  • TV yako inajizima?
  • TV yako unasikia sauti huoni picha?
  • TV yako inawaka nusu hazijazi kioo?
  • TV yako imeingia giza upande mmoja?
  • TV yako imeua taa?
  • TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu?
  • TV yako inawaka taa nyekundu tu?
  • TV yako haina sauti?
  • TV yako inaonyesha mistali?
  • TV yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
  • TV yako inaonyesha picha mbili?
  • TV yako inawaka na kujizima?
  • TV yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
  • TV yako inaonyesha picha inaganda?
  • TV yako inaonyesha mwanga mweupe?
  • TV yako inawaka haiandiki chochote?
  • TV yako imepasuka ki00? vioo vipo, kioo size 32" ni 160,000, kioo 43 ni 360,000. Size zingine za vioo tuwasiliane.
Simu: 0713799522

Karibuni wenye tatizo na TV zenu, ofisi ipo Ilala mtaa wa Pangani.

20230414_184231.jpg
20230414_184242.jpg
20230411_170147.jpg
 
Me natafuta mtu wa kuweza kuni saidia kupata data za kwenye extenal yangu ilizingua aisom sasa ina vitu vyangu kibao kama fund yupo anicheki ila awe mwanza
 
KARIBUNI WENYE TATIZO NA TV ZENU.. OFICE IKO ILALA MTAA WA PANGANI.. NAMBA NI 0713799522
 
KARIBUNI WENYE TATIZO NA TV ZENU.. OFICE IKO ILALA MTAA WA PANGANI.. NAMBA NI 0713799522
Kuna Samsung 4K inchi 43, ilianguka ikiwa mpya kabisa sasa haiwaki, kioo kimekuwa cheusi, je nacho kinapatikana? Cha 4K
 
-Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522


20230414_184242.jpg
 
Back
Top Bottom