Israel yaifungia Aljazeera, yachukua vifaa vyao vya kazi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,182
36,169
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel:

IMG_20240505_170509.jpg

2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago?

IMG_20240505_171411.jpg

3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake?

IMG_20240505_172141.jpg

4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu?

IMG_20240505_191919.jpg

5. Hoja si hujibiwa kwa hoja? Kulikoni hoja kupingwa kwa rungu?

IMG_20240505_191919.jpg

6. Kwamba kumbe wangependa kulazimisha mbeleko kama ya TBC kijiwe jiwe?

IMG_20240505_191952.jpg

7. Ama kweli la kuvunda halina ubani!

"Na bado!"
 
Occupied East Je
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel:

View attachment 2981691

2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago?

View attachment 2981690

3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake?

View attachment 2981694

4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu?

View attachment 2981754

5. Hoja si hujibiwa kwa hoja? Kulikoni hoja kupingwa kwa rungu?

View attachment 2981754

6. Kwamba kumbe wangependa kulazimisha mbeleko kama ya TBC kijiwe jiwe?

View attachment 2981756

7. Ama kweli la kuvunda halina ubani!

"Na bado!"
Occupied East Jerusalem si Westbank inawahusu!?
Imekuaje wameingilia mamlaka ya Westbank!?
 
Ina maana hatutapata habari yeyote ndani ya Gaza? Au itakuaje

1. Israel kama ma dikteta uchwara mengine ilipiga marufuku international media zote Gaza, ili TBC ya Ryoba ishike hatamu za kutuhabarisha:

IMG_20240505_173234.jpg

2. Alipo sasa bila shaka ataliweza la kuzuia Israel hivyo haya mapicha yenye kumwudhi sana MK254, bila shaka ndiyo basi tena:

IMG_20240505_114544.jpg

3. Bila shaka hapa sasa tutegemee nyomi zinazomwunga mkono Bibi na MK254 akiwa mmoja wa waandamanaji mwisraeli mwandamizi kutokea Buza akiwamo ndani ya nyumba!
 
Occupied East Je
Occupied East Jerusalem si Westbank inawahusu!?
Imekuaje wameingilia mamlaka ya Westbank!?

1. Kwani jambazi la mihadarati kama "Escobar," linajua mipaka?

IMG_20240505_194745.jpg

2. Linaendelea kulikoroga, na bado!

IMG_20240505_194709.jpg
 
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel:

View attachment 2981691

2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago?

View attachment 2981690

3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake?

View attachment 2981694

4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu?

View attachment 2981754

5. Hoja si hujibiwa kwa hoja? Kulikoni hoja kupingwa kwa rungu?

View attachment 2981754

6. Kwamba kumbe wangependa kulazimisha mbeleko kama ya TBC kijiwe jiwe?

View attachment 2981756

7. Ama kweli la kuvunda halina ubani!

"Na bado!"
Aljazeera wapo bias sana utafikiri chombo cha propaganda kuitetea hamas na palestina hawajawahi kuiripoti israel kwa mazuri waifunge kabisa
 
1. Israel kama ma dikteta uchwara mengine ilipiga marufuku international media zote Gaza, ili TBC ya Ryoba ishike hatamu za kutuhabarisha:

View attachment 2981768

2. Alipo sasa bila shaka ataliweza la kuzuia Israel hivyo haya mapicha yenye kumwudhi sana MK254, bila shaka ndiyo basi tena:

View attachment 2981772

3. Bila shaka hapa sasa tutegemee nyomi zinazomwunga mkono Bibi na MK254 akiwa mmoja wa waandamanaji mwisraeli mwandamizi kutokea Buza akiwamo ndani ya nyumba!
akifanya Urusi mnasifia
 
Back
Top Bottom