vifaa

  1. Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  2. Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  3. N

    Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  4. Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  5. TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  6. Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  7. U

    Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

    Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
  8. Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad)...
  9. Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  10. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  11. Vifaa vya stationery vinahitajika

    Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo. 1.Realm paper 2 flat files 3.printer ink HP laser jet 83A na 85A 4. Endorsing ink 5.blue pen and red pen 6.Box files 7.rubber band 8.steppler 9.punch Etc. Najua k/koo nikienda kutafuta nitaipata lkn Kama Kuna mdau huku...
  12. SoC01 Vijana wajishughulishe na plastic welding/ kuchomelea vifaa vya plastics

    Kwanini plastic welding? 1. Ni shughuli ya mtaji mdogo 2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique 3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers kwa bei ya chini sana maana hawajui watavitengeneza vipi. 4. Ni shughuli yenye kipato cha haraka na...
  13. Afghanistan: Shirika la Afya lakabiliwa na upungufu wa vifaa kutokana na vizuizi

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
  14. VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  15. Bei ya vifaa vya maabara ya physics

    Salaam wakuu . nilikua naomba msaada wa kutajiwa bei ya vifaa vifuatavyo . 1. Voltmeter,galvanometer, ameter, resistors (rheostat) 2. Calorimeter. 3. Spiral springs. 4. Laboratory beam balance . 5. Stopwatches . Nahitaji kufungua home laboratory kwa ajili ya kuwapga msasa vijana hasa somo la...
  16. Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

    Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
  17. Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  18. Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  19. S

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…