vifaa

  1. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    "Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara. Kwa hili, Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza atoa Wiki Mbili Ununuzi Vifaa vya Mradi Pemba

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wiki mbili kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kukamilisha taratibu za zabuni na ununuzi wa pampu, mashine za umeme wa jua na matanki ya kuhifadhia maji ili huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Chimbo la Flash Disks, Memory Card na Vifaa vya Simu Original za JUMLA

    Habari wana JF, Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
  4. JamiiForums Tanzania Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  6. JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna hivi vifaa nchi hii?

    Habari za muda huu wadau, Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake naangalia kwenye tv 3 tofauti pia. Let say Nina king'amuz Cha Azam , DSTv na startimes.. ..jikon...
  9. JamiiForums Tanzania Ruangwa Marathon ni maalumu kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Septemba 9, 2023 Mkoani Lindi. Akizungumza baada ya kumalizika kwa Marathon hiyo Waziri Mkuu Mhe...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nauza duka langu la vifaa cha ujenzi

    Habari wakuu, Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane) Mawasiliano yangu ni 0656052164.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  12. JamiiForums Tanzania Electronic warfare: Urusi yakwamisha vifaa vya kimarekani,haviwezi kupiga tena.

    imeelezwa kuwa uwezo wa Urusi kubadili mbinu katikati ya mzozo imeipa nguvu kubwa ya kupambana na silaha ilizopatiwa Ukraine ambazo zinatumia GPRS ili kupata shabaha zake. Mwanzoni Urusi ilikuwa inatumia mitambo mikubwa kwa ajili ya kazi hiyo ambayo ilikuwa ikitembea katikati ya msururu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Igunga: Tunaishukuru Serikali kwa vifaa tiba na madawa kwenye zahanati za vijijini

    "... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..." "... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos akabidhi vifaa vya ujenzi na michezo Jimbo la Welezo Mkoa wa Magharibi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo. Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida akabidhi Vifaa vya Ofisi Shule za Kijitoupele na Bububu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Magharibi (UWT) amefanya ziara na ametembelea Shule ya Msingi Kijitoupele na Shule ya Sekondari Bububu kwaajili ya kugawa vifaa mbalimbali vya Ofisi katika shule hizo zilizopo Mfenesini. Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na viongozi mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita akabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 136

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa vya TEHAMA, Michezo, Afya na Elimu

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano. Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  19. JamiiForums Tanzania Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

    Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea. Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu. Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO. Taliban hawakukubali, wakaingia vitani...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya chips

    Wana JF nauza hivo Vifaa; -Kabati kubwa ngazi tatu -Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa -Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida -Jiko la mishikaki -Meza ya kuweka Kabati -Makalai mawili ya viazi na kuku - Flampeni 2 -Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa Bei 380K vyote..... Eneo lipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…