Jinsi ya kusakinisha FONTS maalum katika Samsung one UI 6 au 5.1 Vifaa (Fonti 600+)

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,167
16,257
Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store

kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font


baada ya kupakuwa folder husika fuata maelekezo mafupi kwenye video hii jizi ya kuongeza hizo fonts


View: https://www.youtube.com/watch?v=ododwlKs8ac
 
Back
Top Bottom