video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  3. JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  6. JamiiForums Tanzania Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

    Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima . Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani...
  7. JamiiForums Tanzania Donald Trump akimkemea katibu wa NATO Jens Stoltenberg kuhusu nord stream 2

    Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea. Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  9. JamiiForums Tanzania HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

  10. R

    JamiiForums Tanzania Makamba anahitaji atupe maelekezo ya kueleweka kuhusu Umeme

    Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME. Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa kidogo nikaona kwa kasi aliyokuwa nayo Hata Daraja la Busisi lingekuwa lilishakamilika.
  11. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Video ya ng'ombe, Pundamilia na Binadamu Ngorongoro itufundishe Maasai wana haki ya kuishi

    Maulid Kitenge na Mzee wa Kaliua mmefanya Kubwa sana kutetea uhai wa watoto wa Kimasai. Natambua Binadamu wabinafsi awatawaelewa na Binadamu wanafiki watawaambia na kuwadanganya kwamba Masai anatakiwa kuishi na wanyama Ngorongoro kama kivutio Cha utalii na kwamba Masai ni Moja ya factor...
  13. JamiiForums Tanzania Daaah Mwambieni Video ya Zuchu imeniangusha

    Salaam Wakuu, Niliposikia huu wimbo wa Zuchu wa Mwambieni niliupenda sana ulinikumbusha Nyimbo za Saida Karoli. Nilipoona Challenges mbalimbali na mitindo ya uchezaji Instagram na Tik Tok nilijijengea kataswira fulani jinsi video yake itakuwa. Video imetoka leo lakini sijapata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Logitech BRIO Webcam with 4K Ultra HD Video & HDR

    Nauza Webcam Camera nzuri sana na ya kisasa aina ya Logitech Brio, inachukua ubora wa picha wa 4k. Naiuza pamoja na standa yake kwa Tshs. 300,000 Tu. Piga 0754 34 36 42. Maelezo zaidi ya camera hii soma Logitech BRIO Webcam with 4K Ultra HD Video & HDR Logitech BRIO Webcam with 4K Ultra HD...
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Kutana na Ameca the humannoid Robot mwenye utashi, asiye amini Mungu

  16. JamiiForums Tanzania Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

    Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video? Anataka...
  17. JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana. Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally ===...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kila kona ni Mayele style

    Ona Mazoezini Simba
  19. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison ameshare Video fupi ikimwonesha alivyokuwa akistarehe visiwani Zanzibar

    Bernard Morrison (Amezaliwa 20 May 1993) Ni Mchezaji maarufu wa Ghana anaechezea timu ya Simba SC kwenye Ligi ya Vodacom Premier Bernard Morrison Personal information Club information Senior career* National team‡ Date of birth 20 May 1993 Place of birth...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata copyright ya video ya youtube

    Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste. Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi wowote kuhusu copyright kwa anayejua tafadhali sana nijulishe ahsante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…