Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,580
217,962
Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo.

Pia soma;

1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

2). Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili
Kamwe_hatuwezi_kunyamaza_tukiona_sheria_za_nchi_yetu_zinavunjwa%2C_%23MuhimbiliTaifa_tunaendel...jpg
 
Heads need to roll, period! Kama wahusika ni wafanyakazi wa spitali.

Na sijui utaratibu ni upi, ila simu na other electronic recording devices lazima zipigwe marufuku kwenye sehemu kama hizo.

Totally unacceptable.
'Spitali' ndio nini?

Wewe kama nani kuzuia hivi vifaa vya kielektroniki?!
 
Heads need to roll, period! Kama wahusika ni wafanyakazi wa spitali.

Na sijui utaratibu ni upi, ila simu na other electronic recording devices lazima zipigwe marufuku kwenye sehemu kama hizo.

Totally unacceptable.
Ingekuwa huko kwenu kuna mtu angejiuzulu kwa kashfa hii.

Lakini sishangai hata wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa hayati Magufuli kuna mtu alipiga picha na walinzi wako pale pale kisha akaisambaza mitandaoni!
 
Back
Top Bottom