video

  1. CRDB wakiona hii video ya konde boi mjeshi akicheza lazima wapanic.

    Maana ana cheza kanakwamba sio mdaiwa suguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ https://x.com/Kirikuu20/status/1828029275099828561?t=zYCmozjIC-s5EIqEyeBhCA&s=19
  2. A

    Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

    Tumewahi kuzipiga launcher. Haya Hezbullah anawaibisha sasa. https://youtu.be/8RZ2iquG8Vk?si=A_nyuk_9ttfL8m1T Pia kapiga Navy ya Israel https://youtu.be/fnEOBamOMe8?si=kBHSp6JILmrzytkW Pia wamepiga target muhimu sana Tela Aviv. Israel wanaficha na uwongo wao wa kusema Hezbullah karusha...
  3. PreGE2025 CCM haijawahi kukanusha hizi kauli(video)

    Tuelewane CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata kata ya maji CCM imejionesha kwenye sakata la TotoCard za NHIF CCM imejionesha vyema kwenye mkataba...
  4. Video ndefu facebook

    Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
  5. Wakili Komba asema "Kwa jicho la kawaida ushahidi wa video unaonekana unatosha kuwatia hatiani 'Waliotumwa na Afande'

    MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA WATIWE HATIANI:- 1. Je, binti aliyebakwa na kulawitiwa anawatambua washitakiwa wote wanne...
  6. Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  7. SI KWELI Video ya ndege ya Brazili muda mchache kabla ya kupata ajali

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii video ikidai ni tukio la kweli kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil. Kuna ukweli?
  8. Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  9. SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia. Nimepita kwenye baadhi ya mitandao sijaona hilo tukio. Hili tukio ni la kweli na kama ni la kweli, lilitokea lini? Video husika Picha ya...
  10. G

    Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  11. Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

    Wanaukumbi, Angalia hizo video Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo. Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen. Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa...
  12. PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  13. X

    Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  14. A

    Mapenzi ni matamu sana

    Hakika mapenzi matamu. Shemeji katoka - South Africa kapata chombo Tanzania
  15. Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

    Salaam wana JamiiForum; Maisha yanaenda kasi sana, vijana wenzangu ambao tulikuwepo bado vijana wakati hizi nyimbo zinatoka embu leo kajiangalie tena kwenye kioo alafu linganisha matendo unayofanya na umri wako. Ni hayo tu. Link hii hapa https://youtu.be/IYdqkdh7hks?si=I367eHGJ_G3KHo7F
  16. JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

    JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post...
  17. Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  18. Wamegundua Nini?. Angalia Hii Video Fupi Baada ya Trump Kutunguliwa.

    Ni igizo fulani hivi ila naendelea kufuatilia, bado sitaki kuamini.
  19. Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  20. Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…