Video inayoonesha gari inayotembea kwenye barabara iliyopo mlimani huku likiwa na mawe mawili juu yake.
Mdau Shiriki kuthibitisha, je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
Msaada tafadhali.
Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa.
Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie.
SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie.
Asante na mbarikiwe sana.
Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
Mtu anaweza kukuharibia upako wa jumapili kwa request za ajabu. How come Mwanamke anaomba atumiwe video za utupu
Nianze kuinstall VPN niingie pornhub ni download X then nimtumie Mimi nimemwambia siwezi nimemtumia buku mbili aende library wamuwekee
Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani.
Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana.
Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.
Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface.
Alivutia sana watalii pale...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania.
Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe.
Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii.
Au...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
Wakuu,
Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea.
Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani.
Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi.
Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.