Video: wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie haya

===
Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.

View attachment 3204030
Huu ndio ukweli Mwamba anapaswa kupumzika JJM ameshawapiga KO kuhusu join the chain ya tuhuma za Njewe amabae dhahiri shairi ndie anaekivuruga chama na inaonekana Ana baraka zote za Mwamba
 
Wajinga kama hawa ndio wanashinda bar wanakunywa konyagi siku ya kupiga kura...

CDM haiogopeki na watawala, CDM ni chama cha siasa sio kikundi cha waasi..
Hii lafudhi ni ya kitanzania kweli? Au kule kwenye M23
 
Hamtaki kuambiwa ukweli
 
Back
Top Bottom