video

  1. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

    Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
  3. JamiiForums Tanzania Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

    Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
  4. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

    Kwa bajeti ya 200,000 hadi 300,000 naweza kupata kamera gani nzuri kwa ajili ya short films na clips. Nipo mtwara. Kwa sasa natumia simu kufanya hivyo vyote.
  5. JamiiForums Tanzania Video: Haj Manara awashukia Waislamu

    Pengine Sio Tone nzuri ya kubembeleza lakini kwa jambo hili naamini nilikuwa sahihi! Haiwezekani tusifiane Wafanyabiashara wengi ni Waislaam kisha Maimamu wengi wanaotuswalishia Miskiti yetu na Waalimu wanaotufundishia Watoto wetu elimu ya dini wawe omba omba na malofa!! Tufikirie sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Video Editors

    Habari zenu! Video Editors naomba mnisaidie nisome maeneo yapi muhimu kwa ajili ya kufanya interview. Msaada wenu ni wa muhimu sana. Natanguliza Shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas watoa video ya propaganda

    Magaidi wa Hamas watoa video ya Propaganda baada ya kuona kipigo kwa magaidi hao kimezidi. Wamesahau kuwa ISRAEL HAITISHIWI NYAU!!
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ufungaji wa Viti vipya 62,000 Uwanja wa Mkapa unaendelea, vitakuwa na muonekano wa bendera ya Tanzania

    Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani. Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe wanakera sana

    Hivi wanakukera na wewe huko kiasi gani
  10. JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

    Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu. Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa waandishi wa habari, helikopta hiyo ya New York Helicopters ilikuwa imekodishwa na ilikuwa na rubani...
  12. JamiiForums Tanzania China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  13. JamiiForums Tanzania Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  15. JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii video hapa

  16. JamiiForums Tanzania Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

    “Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
  18. JamiiForums Tanzania Graphic video: Kamanda wa Hezbollah Mohamed Mansour alivyouawa na majeshi ya Israel huko Lebanon.!!

    Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na gari yake kupigwa kombola gari liliwaka akiwemo yeye na mpambe wake juhudi za kutoa kwenye hilo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Video: Arusha imekuwa kama Mexico, kuna vita inaendelea ya Cartels / Magenge ya mirungi wanaporana magunia mchana kwa pikipiki na mapanga

    Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…