Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye Windows na Linux toka chuo, nikaona best option kwa sasa ni kutafuta computer yenye gpu nzuri au ninunue...
Wakuu
Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
Kama Nipo Sahihi Hapo Mbele Ni Gari Ya Polisi... Je Polisi Wanafanya Biashara Ya Kukodisha Hizo Gari Za Ving'ora? Au Kuna Vigezo Gani Vimetumika Kumpa Huyo Dogo Msafara Wa Polisi?
Kabla Hatujalaumu Tunaomba Jeshi litoe ufafanuzi, ili tujue ni money talks kama anavyosema au lah... Maana siku...
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025.
Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza;
🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza
🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi
🎤Ipi...
Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory
Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha
Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up".
Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania.
Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.