video

  1. F

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Video yenye picha na Sauti ya Heche akiongea kuhusu Lissu

    Kuna hii video inasambaa TikTok ikiwa na picha ya makamu mwenyekit CHADEMA akiongea kuhusu Lissu je ni sauti ya HECHE au ni wapotoshaji?
  2. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hapa PolePole alikuwa anafurahia anayodanganya kuyaashangaa Leo!

    Ukiwa Muongo au mnafiki, jitahidi usiwe msahaulifu.
  3. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

    Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
  4. JamiiForums Tanzania Ishi vizuri na watu ili usije ukazikwa hivi kama kwenye video.

  5. JamiiForums Tanzania Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI 'Aquarium' kubwa imeporomoka huko California na kuua watu 50

  7. JamiiForums Tanzania Unajiamini kwenye kubaini maudhui ya AI? tukutane hapa. Dosari gani unaziona kwenye video hii?

    Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona. Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
  8. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Donald Trump asema kwa yanayoendelea nchini Kenya kama angekuwa Rais wa Kenya angejiuzulu

  9. JamiiForums Tanzania German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

    Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo imefanikiwa kwa maigizo kama hayo kwa zaidi ya miaka miwili hadi mashirika yakaamua kuchunguza hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Journalist (Digital Video Producer) at BBC August 2025

    Job Requisition ID: 25996 Job Closing Date: 17/08/2025 JOB DETAILS JOB TITLE: Journalist- (Digital Video Producer) JOB BAND: C CONTRACT TYPE: Permanent, Full-time DEPARTMENT: BBC News LOCATION: Dar Es Salam, Tanzania. Onsite Any offer of employment with the BBC will be conditional...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

    Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

    Wakuu, Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wambeba juu juu Kigwangala alipofika jimboni kwake. Hizi kama sio drama ni nini?

    Wakuu, Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

    Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kwenye hii video ni Kiongozi gani anaombewa

    Tuko kwenye maombi ya siku 7 kuombea wanaume wa Tanzania kinyume na roho za mauti kama tulivyoagizwa na Mungu. Leo ikiwa ni siku ya 3, haya ni baadhi ya aliyoyafunua Roho Mtakatifu katikati ya maombi.
  20. JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…