Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu?
Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi Kwa sauti ya juu.
Mpaka inafiki bibi kizee wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona mambo makubwa...
Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus.
Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya...
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya.
Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana.
Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye.
Source: TRT AFRIKA
Habari za jumapili....
Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe,
kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4
Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia.
Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
Format factory Software (image, audio, video) - 20,000 Tsh
*Sifa zake
Video converter
video downloader
Picture converter
Audio converter
Document manipulation
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon
By Reuters
Today, 12:56 pm
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message, his first message since Washington announced a ceasefire between Iran and Israel, his account says.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.