Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases.
In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani.
https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
A Ugandan TikToker, Ibrahim Musana, has been charged with hate speech and unlawful access to personal data belonging to the first son and chief of defense forces (CDF), General Muhoozi Kainerugaba, following a video he posted on TikTok.
Musana, who operates online under the alias Pressure 24/7...
Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa.
Wachangiaji wote nilio fuatilia hakuna hata mmoja alietoa sababu za kutelekezwa gari hili.
nimeleta labda tunaweza kupata ABC za...
Kuna video inayosambaa kwa kasi kwenye mtandao wa TikTok na majukwaa mengine, ikidai kuonesha dakika za mwisho za msemaji wa kundi la M23, Willy Ngoma, akishambuliwa na kuuawa na ndege zisizo na rubani (drones). Video hiyo inahusishwa na mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na jeshi la serikali ya...
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
Man attempts sea suicide at night after catching wife cheating on video call; locals save him then proceed to beat and scold him for trying to die over a woman while he cries silently to her on call
WATCH VIDEO...
Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0
Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia.
Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead.
Miongoni mwa clips zilizotia fora...
Ufafanuzi Kuhusu Video Inayosambaa: Operesheni ya FCC Dhidi ya Bidhaa Bandia
Dar es Salaam, Februari 13, 2026 Total Energies Marketing Tanzania Limited inatoa ufafanuzi kuhusu muktadha wa video iliyosambaa mtandaoni ambayo inaonekana kuonyesha bidhaa bandia za vilainishi vya Total Energies...
Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao.
Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.