Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,054
Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
Alicheza jana na Stand united chama la wana.Anacheza na nani?
Kaka! Uko hapo kiwanjani?Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
View attachment 3288729
Hili ndilo linakera.....tunapaswa kuweka usimba na uyanga pembeni tubaki na timu yetu ya KUKAJA (Wana koma kumwanya)Shida yao wako Mbeya halafu wakija Simba na Yanga wanahujumu team yao ya nyumbani.
Si kweli, Mbeya city hata wakati anashuka daraja bado walikuwa na wastani wa mashabiki wengi tu kuhudhuria mechiZimamoto..siku ikianza kushuka na kupata matokeo mabovu hutowaona hao
Labda umesahau tu mkuu Mbeya city inamashabiki loyal sana. Nashauri viongozi waifanye iwe timu ya kwanza Tz kuwa na wale mashabiki Ultras, hakika itavutia sanaHili ndilo linakera.....tunapaswa kuweka usimba na uyanga pembeni tubaki na timu yetu ya KUKAJA (Wana koma kumwanya)
Halafu kuna IHEFUUU. Kiboko ya manjanoOna mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
View attachment 3288729
Penda Simba na Yanga wakicheza na wengine lakini wakija kwenye mkoa wenu mnawaweka pembeni mnakaa nyuma na team yenu ya nyumbani wote.Hili ndilo linakera.....tunapaswa kuweka usimba na uyanga pembeni tubaki na timu yetu ya KUKAJA (Wana koma kumwanya)
Imeunga mkono juhudi siku hiziHalafu kuna IHEFUUU. Kiboko ya manjano
Mechi zàke zinajaza sana watu na timu inafanya vizuriLabda umesahau tu mkuu Mbeya city inamashabiki loyal sana. Nashauri viongozi waifanye iwe timu ya kwanza Tz kuwa na wale mashabiki Ultras, hakika itavutia sana
Hunioni?Kaka! Uko hapo kiwanjani?