vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  2. Moja wapo ya Fungu kwenye Biblia linalotafsiriwa vibaya: Matendo ya Mitume 10:15

    Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa. Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili...
  3. R

    Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  4. S

    Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake 😮‍💨😮‍💨😮‍💨

    Habari wana jamvi. Niko na mahusiano ya part time (hayana malengo ya ndoa) sema tu tunapunguziana upwiru kwa sababu tunao wapenda wako mbali nasi. Sasa bhana haka kabinti kana shida moja nayo ni hii "hakataki kabisa kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba zina madhara". Yaani...
  5. KERO Responded Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  6. Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

    1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi 2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA...
  7. Kanda ya ziwa inatumika vibaya kuivusha CCM kwenye Matatizo

    Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote. Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale. Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
  8. Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  9. Ellon Musk amdhihaki vibaya Zelensky

    Katika hali inayoonesha mambo kuzidi kumgeukia Rais Zelensky wa Ukraine, tajiri mkubwa wa mawasiliano na aliyekuwa mfadhili mkubwa wa Ukraine Ellon Musk amemdhihaki kiongozi huyo kwa kumuonesha kama mtu ombaomba aliyepitiliza viwango. Katika picha aliyoitengeneza na kuiweka kwenye akaunti yake...
  10. Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni . Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
  11. Kuhusu Loliondo: Serikali ya CCM yaaibika Vibaya Kortini

    Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha. https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
  12. Biblia ina mifano Mingi ya Wafalme Walioshauriwa Vibaya. Mmoja ni Huu.

    “Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”. Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema...
  13. Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  14. Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

    Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
  15. Leo natamani Watu fulani Wafungwe au Wasare ili nije na 'Exclusive' yao na 'Wavurugike' zaidi kwa 'Kukasirika' vibaya

    Ewe Mola kama tayari tumeshawapa Waarabu Bandari yetu basi kwa Upendo wako huo huo GENTAMYCINE nakuomba Uwabariki pia na Waarabu wengine ili leo nao Waweze Kumiliki Jangwa la Mtoni kupitia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. AMINA......!! Pona pona yenu leo labda Mshinde, ila mkifungwa au kutoka...
  16. Serikali fuatilieni hizi kampuni za kitapeli zinazodai zinakopesha mitandaoni, mama zetu wanalizwa vibaya sana

    Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit. Watanzania wamepigika...
  17. Q

    Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia...
  18. Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  19. Kwangu Mimi Muzamiru na Kibu ndiyo walicheza vyema Jana huku Job na Mwamnyeto wakicheza vibaya

    Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na Mazima. ANGALIZO Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na...
  20. Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…