vibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

    Hizi mechi za AFCON hua naangaliaa kwenye vibanda umiza kwa sababu ya vibe la mashabiki. Mechi ikimuhusisha mwarabu na MTU mweusi mwarabu ni anatukwana sana n'a MTU mweusi. Yani Maneno yavuka mipaka unakua ni uhasama Utani n'a Maneno ya kishabiki yanawekwa pembeni then mwarabu anatukwana...
  2. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  3. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

    Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo RC Albert...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  5. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu ya kuweka Donati zangu

    Habari Wakuu, Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu. Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati. Nipo Mabibo, Dar es Salaam
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujadili Fursa Ya Kumiliki Vibanda Vya Kukodisha

    Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya. Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM. Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
  7. Acehood

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wa TANESCO kwenye ngazi za chini wasiruhusiwe kumiliki vibanda umiza.

    Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  9. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Bonde la Msimbazi na Jangwani Kilimo na Vibanda Vyarejea Kwa Kasi - Uchafuzi Mazingira Hatarini Tena!

    Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri. Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vibanda 15 vyateketea kwa moto Mafinga

    Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara. Akizungumza na Mwananchi mmiliki na shuhuda, Mohamed Migila amesema kuwa moto huo ulianza kuwaka...
  11. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya chuma vya biashara ni bei gani?

    Jamani habarini za muda huu, Samahani naomba kujua vibanda vile vya biashara (vya Chuma) kama vile huwa vinatengenezwa kwa shingapi? Between ngapi na ngapi?
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbeya: WafanyaBiashara waandamana kwa kubomolewa vibanda vyao

    Zaidi ya wafanyabiashara 40 katika Soko Kuu mtaa wa Sokoine jijini Mbeya wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kutoa kilio chao baada ya vibanda vyao kubomolewa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Septemba 22, 2022 na watu wasiojulikana. Pia, imeelezwa katika bomoabomoa hiyo, mali za...
  13. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Toka Azam TV ianze kuonesha ligi ya Tanzania, imepelekea kupunguza mashabiki wa ligi za Ulaya

    Kwa jinsi hali ilivyo sasa ya kimpira hapa kwetu, hasa katika mazingira ya vibanda umiza, kwa kuangalia mashabiki wa hizi timu mbili kubwa hapa Bongo. SIMBA Kwa msimu huu wa 2021/22 hasa siku za hivi karibuni, mashabiki wa Simba wameanza kupungua kuhudhuria mechi za Simba, hasa hasa inapokuwa...
  14. nyboma

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress. Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
  15. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Hapakuwa na haja ya kuwaondoa wamachinga na kuvunja vibanda pembezoni mwa mji

    Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc. Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ? Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ? tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

    Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa. Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Back
Top Bottom