Karibu Tujadili Fursa Ya Kumiliki Vibanda Vya Kukodisha

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya.
Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM.

Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza kodi nzuri sana ya mwezi.

Vipi huko uliko unaionaje biashara ya hii ya kukodisha vibanda vya biashara?.

Tunaomba mchango wako tuweze kujifunza pamoja.......

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

Whatsapp: +255 752 413 711
 
Hii lilikuwa linawezekana enzi za utawala wa vibanda lakini kwa Sasa ni issue ngumu sana
 
Ugumu wake uko wapi?.

Hapo ulipo hakuna mabanda ya biashara kweli?
 
Back
Top Bottom