Wadau wa JF habari zenu.
Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.
Natanguliza...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Mwanadamu asili yake ni udongo.
Kuna connection kubwa sana kati ya udongo na mwanadamu. Hata neno Adam ambalo limeleta neno mwanadamu linatokana na neno "Adamah" la Kiebrania ambalo humaanisha udongo.
Katika kutuumba Mungu aliweka vitu katika viganja vya miguu na mikono ambayo vikikutana na...
Kwanini usubiri hadi January kununua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao, wakati ni sasa jipatie viatu vya shule na offer ya socks Kwa 35,000
Call/what's up 0744 002351
Zinapatikana no 20 - 40
Ugumu wa maisha unaweza ukakufanya ufanye maamuzi sahihi au ufanye maamuzi kwa kushinikizwa.
Nikiangalia watu mtaani naona wote Wana hasira maisha magumu, wamechoka Kama wajumbe.
Hata mawakala wa chama kile waliotegemea umateumate wameambulia debe la mahindi ambalo litaisha kabla hata...
Wakuu salama?
Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo.
Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
Mara ngapi unanunua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao na havidumu muda mrefu,wazazi mnajua jinsi gani inakera kununua kiatu kila mara. Mvalishe mwanao hivi viatu usahau kununua viatu kila mara..
Bei yake ni 35,000 vya shule
Kanisani na mitoko mingine 40,000
Tupate kwenye Instagram Kwa...
Hello
Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka.
Historia
Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam.
Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi.
Kwa kawaida mimi ni...
Baada ya kutua nchini umeongea vitu vingi Sana. Lakini vya habari vimekosa chochote Cha kusimulia kwenye alichoutubia zaidi ya kuripoti umekuja tu.
Mandela baada ya Mateso yote jela, baridi, fimbo na minyororo alipotoka tu aliendelea kuhubiri Amani, umoja na kuaminiana Kati ya watesi wake...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
Karibuni sana nauza viatu poa vya mtumba kwa bei nafuu
kwa mawasiliano nicheck kuptia 0692058709 Whatsapp & Calls
AIR JORDAN 1 LOW SE SHOES
SIZE 9.5/44.5
PRICE 35,000/=
Brown leather
SIZE 8.5/42.5
PRICE 20,000/=
BELLE SHOES(Black)
SIZE 8.5/42.5
PRICE 25,000/=
ADIDAS STAN SMITH SHOES
SIZE...
Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki.
Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo vinamtosha?
Rangi ya Viatu alivokuwa akivaa marehemu ndio hiyo bado ipo mpaka leo au aliepewa...
Jozi za viatu za nguli wa mchezo wa kikapu Michael Jordan za mwaka 1985 zimeweka rekodi ya kuuzwa kwa kiasi cha dola za Marekani 560,000, kwenye mnada wa mtandaoni.
Jozi hiyo ya viatu ya Nike Air Jordan 1s, ilivaliwa na Jordan wakati wa msimu wake wa kwanza akiwa kinda na klabu ya Chicago...
LWAKATALE, SILINDE NA WENZAO WAMEONEWA SANA NA KUDHALILISHWA SANA
Sitaki kujadili juu ya uhalalia ua kutokuwa halali kwenda au kutokwenda Bungeni hili lingeitimishwa na sheria na Miongozo ya CHADEMA kama ingefuatwa wakati wa kuhitimisha jambo lenyewe. Mimi nitajikita kwenye sheria na kanuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.