viatu

  1. Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  2. Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu #BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
  3. Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  4. MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea. Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima...
  5. Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  6. M

    Biashara ya viatu vya kike spesho hivi vya fashion na pochi

    Habari, Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu? Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake. Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani. Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
  7. John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
  8. Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  9. M

    Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  10. Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  11. Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  12. Mwakinyo uje tanzania na viatu unavyolalamikia

    Tupo wataalamu wa uchunguzi tutavichunguza tutabaini na hata aliyekuibia tutamtambua .keep it up ngumi unaweza ila gangamala.
  13. Mandonga: Namtaka Mwakinyo, changamoto za viatu haziwezi kunipa shida

    Leo 13:15hrs 04/09/2022 Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha kuzaliwa cha masumbwi, si mpiganaji mjanja bali mpiganaji mwenye skills zilizokwenda mbele zaidi kwenye...
  14. Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

    Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
  15. Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  16. M

    Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

    Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China. Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije...
  17. Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

    Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
  18. N

    Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi. Naomba...
  19. B

    Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

    Wapi pa kukimbilia? Mafuta yameathiri kila mtu. Kwa serikali hii? Kazi kwake mlaji wa mwisho!
  20. Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…