Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu
#BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu.
Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
Habari wakuu.
Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea.
Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima...
Hello wana JF,
Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja.
Kwa mawasiliano ni 0626817740
Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
Habari,
Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu?
Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake.
Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani.
Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba
Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..?
Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma!
Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana".
Haya Mwakinyo nijibu haya maswali;
1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?
2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako?
3. Hivyo viatu...
Leo 13:15hrs 04/09/2022
Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha kuzaliwa cha masumbwi, si mpiganaji mjanja bali mpiganaji mwenye skills zilizokwenda mbele zaidi kwenye...
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije...
Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi.
Naomba...
January nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.