viatu

  1. Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  2. Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Kwanini kuibiana viatu katika msikiti? Hii tabia ikomeshweeeee Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi? Tazama video chini
  3. R

    PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI. 2. UZALENDO. 3. UCHAPAKAZI. 4. MAONO/VISION. Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu...
  4. Naomba kujua Bei ya viatu vya kike simple shoes per caton (36)

    Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
  5. S

    Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
  6. Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  7. Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini. Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na...
  8. Usivae viatu vinavyobana, vinaua maini

    Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni. Viatu vimegunduliwa chini ya miaka 500 tu iliyopita. Hapa Africa hata Babu Yako tu hakuvaa viatu, kama alivaa basi baba yake...
  9. Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  10. Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

    Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu . Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama...
  11. Biashara ya viatu vya watoto wa kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea Size 20-33 Pack 1 Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea...
  12. Fursa biashara viatu vya kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea...
  13. Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  14. Fursa biashara viatu vya kike

    Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 120 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni...
  15. Viatu mid heels vinauzwa

    Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa. Karibuni
  16. Je, katika suala la Mikataba na Tenda mbalimbali, tukivaa viatu vya Hayati Magufuli vitatutosha?

    Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania .. Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM . Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ...
  17. Uvaaji viatu aina ya brogues

    Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless. Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole...
  18. Nitumie nini ili niweze kuondoka haya madoa kwenye viatu vyangu

    Habari I Wakuu Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho...
  19. Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…