Usivae viatu vinavyobana, vinaua maini

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni.

Viatu vimegunduliwa chini ya miaka 500 tu iliyopita. Hapa Africa hata Babu Yako tu hakuvaa viatu, kama alivaa basi baba yake hakuvaa.

Unatakiwa ujue kuwa Miguuni Kuna mirija mingi ya damu, ni sehemu ambapo damu hupita na kugawanyika kuelekea viungo vingi vya mwilini.

Ukivaa viatu vinavyokubana vinapunguza flow ya damu na kusababisha damu isifike vizuri kwenye maini na Figo. Hii husababisha maini kufa au kuoza.

Hivyo ni aheri utembee peku kuliko kuvaa viatu vinavyobana.
 
Huu utafiti source yake ni ipi?
 
Tuma picha ukiwa miguu peku kama Mpoto.
Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni.

Viatu vimegunduliwa chini ya miaka 500 tu iliyopita. Hapa Africa hata Babu Yako tu hakuvaa viatu, kama alivaa basi baba yake hakuvaa.

Unatakiwa ujue kuwa Miguuni Kuna mirija mingi ya damu, ni sehemu ambapo damu hupita na kugawanyika kuelekea viungo vingi vya mwilini.

Ukivaa viatu vinavyokubana vinapunguza flow ya damu na kusababisha damu isifike vizuri kwenye maini na Figo. Hii husababisha maini kufa au kuoza.

Hivyo ni aheri utembee peku kuliko kuvaa viatu vinavyobana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom