Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa.
Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu...
KITUNGUU SAUMU kinamsaidia vipi muathirika wa nyeto 👇🏼
Kitunguu saumu kina allicin, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.
Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya...
Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi.
Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
Baadae nikakutana nae kwenye minada ya Shinyanga...Tinde...nikiwa na Grinaker LTA Kampuni ya ujenzi wa barabara,
Baadae huyu mwamba akawa analeta mbuzi vingunguti....wakati huo sisi tunakula pombe pale relini...
Mwamba kanunua lori kubwa kwa ajili ya biashara zake za kununua mikoani na kuuza...
Habari ndugu zangu,
Naomba ushauri juu ya jinsi ya kununua viatu vya wanawake vyenye ubora kutoka China kuja Tanzania kwa bei nzuri.
Je, kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano ya wauzaji wa kuaminika au mawakala wa mizigo (cargo)?
Ushauri wowote utathaminiwa sana.
Asanteni
Salamu ndugu wana JF
Moja kwa moja kwenye mada. Chukulia kwamba Mungu amekupa uwezo wa asili wa kufundisha na katika kuishi kwako umegusa watu kwenye maeneo mawili muhimu:
1. Elimu ya kitaaluma
2. Elimu ya Kiroho(Uponyaji kupitia Injili ya Yesu Kristo,hapa kuna ambao wameponywa magonjwa...
Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini?
Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;-
1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais;
2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya...
✨ Handmade Leather Shoes (Premium Quality) ✨
📌 Imara, zinadumu muda mrefu — perfect for everyday & office wear
🥿 Available Sizes: 40 • 41 • 42 • 43 • 44 • 45
🎨 Colors: Brown & Black
💰 Price: 45,000 TSH tu
🛠️ Kila pair inatengenezwa maalum kwa oda yako — ndani ya siku 3 unapata viatu vilivyo...
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo.
Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu.
Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta...
Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki.
Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha.
Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi.
Ukijaribu kufuatilia...
Anonymous
Thread
feki
nguo
sana
tabia
viatu
vitu
vitu feki
wateja
wauzaji
Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
Nauza viatu vizuri vya kiume
Mikoani tunatuma kwa uaminifu na tra Kodi tunalipia kwa uaminifu mkubwa
Kiatu namba moja hapa
Bei 90,000 tu namba 40 Hadi 46
Habari wanajamvi...nimewaleta page ya viatu vya kikee grade 1 kabisaa mtumbaa,bei zetu ni safi kabisa @25000,viatu havina kipengelee tajirii....labda ujenacho wewe.
Habari wana jf, poleni na majukumu
Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume .
Mm natamani sana mwaka huu kwanzia mwezi wa kumi kufanya biashara ya viatu vya kiuwe nilikuwa naomba anaye fahamu biashara hii kwa kina anipe 1&2 kuhusu biashara .
1.Natamani kujua zaidi kuhusu...
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?
Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
Habari wakuu .
Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba.
Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.