Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi.
Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
Hivi kwanini watu/madalali wanauza furniture mitandaoni na katika furniture stores huwa wanaita hili eti ni KABATI ? hivi kweli hawajui KABATI ni nini/likoje ?
Wataalamu wa Kiswahili hebu nisaidieni hapa.
Sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3. Leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa.
"Mwenzetu leo umetulate down" hii sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.
Ilikuwa hivi kuna...
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie!
Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Wanamjengo,
Kuna matukio makubwa Trump kafanya leo terehe 21 March, kwa kusaini executive order ya kuvunja Department of Education na pia kutangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wa idara ya Small Businesses Administration kwa asilimia 40.
Sera hizo mbili zina mchagizo wa kazi nzuri...
Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares!
Angalia tatizo ni nini na mtupe maji!
Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious!
Mbunge Ummy take note of this!
Juzi kuna msanii amechoma Gari .
Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia .
Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu .
Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na kuweka hatarini watu kupatwa na magonjwa ya aina hiyo bila kuchukua tahadhari.
Inasikitisha kama sio...
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi.
Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Wanabodi (kwa sauti ya paskali),
Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza.
Baadae umeme...
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa.
Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA
Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet, hawa jamaa walifanya tafiti na wakaja na majibu yaliyoonyesha kuwa zaidi ya watu billion moja...
Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia?
Je inaweza kuwa vyote vitatu?
Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee...
Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.