Serikalii iingilie kati uzembe wa raisi wa TFF

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,174
1,290
Bila ya serikali kuingilia kari kukomesha uzembe waTFF wananchi wa Tanzania watahuzunika maisha yao yote kwa matokeo mabaya ya timu ya Taifa {taifa stars}

Hivi TFF inatumia kigezo gani cha kumchagua kocha wa kuinoa taifa stars? hawa makocha wazarendo kama hawakuweza kuonesha ujuzi wa kufundisha soka katika vilabu vya ligi kuu ya taifa, iweje leo wapewe jukumu kuu la kuinoa timu yenye wapenzi milion sitini wa soka bara na visiwani? huu ni uzembe wa kutovumiliwa kamwe.

Kama kocha Gamond anaweza kumtumia kiufundi mchezaji kama Mzize na kuwa mfungaji bora , leo iweje kocha wa taifa ashindwe kumtumia kikamilivu mchezaji huyo awe mfungaji wa kutegemewa mashindanoni? huu ni uzembe wa kuchagua makocha wa zarendo usio vumiliwa.

all in all, serikali ipige marufuku TFF kutumia makocha wazalendo kuinoa Taifa Stars la sivyo AFCON tutakayo iandaa itatutia haibu ya milele kama tusipokuwa makini na makocha wasio kuwa na utaalamu kisoka kufundisha timu yenye wapenzi wengi Tanzania {taifa stars}
 
Bila ya serikali kuingilia kari kukomesha uzembe waTFF wananchi wa Tanzania watahuzunika maisha yao yote kwa matokeo mabaya ya timu ya Taifa {taifa stars}
Hivi TFF inatumia kigezo gani cha kumchagua kocha wa kuinoa taifa stars? hawa makocha wazarendo kama hawakuweza kuonesha ujuzi wa kufundisha soka katika vilabu vya ligi kuu ya taifa, iweje leo wapewe jukumu kuu la kuinoa timu yenye wapenzi milion sitini wa soka bara na visiwani? huu ni uzembe wa kutovumiliwa kamwe.

Kama kocha gamond anaweza kumtumia kiufundi mchezaji kama mzize na kuwa mfungaji bora , leo iweje kocha wa taifa ashindwe kumtumia kikamilivu mchezaji huyo awe mfungaji wa kutegemewa mashindanoni? huu ni uzembe wa kuchagua makocha wa zarendo usio vumiliwa.

all in all, serikali ipige marufuku TFF kutumia makocha wazarendo kuinoa taifa stars la sivyo AFCON tutakayo iandaa itatutia haibu ya milele kama tusipokuwa makini na makocha wasio kuwa na utaalamu kisoka kufundisha timu yenye wapenzi wengi Tanzania {taifa stars}
Uchaguzi wa TFF lini, cha ajabu utakuta haohao wanakuwa viongozi wa maisha yaani
 
Back
Top Bottom