uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Elia Wilinasi amechapisha andiko lingine linalohusu uzalishaji wa gesi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Geoenergy Science and Engineering

    Habari marafiki, Nataka kuwataarifu kuhusu andiko jipya lililochapishwa na Bwana Elia Wilinasi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa (Geoenergy Science and Engineering) kuhusu uzalishaji wa gesi. Journal hii ina impact factor (IF) ya 5.168 na CiteScore ya 8.1 kwa mwaka 2021. Ikumbukwe journal...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kushusha bei ya gesi kama uzalishaji umeme utakuwa mkubwa

    Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini. Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuatia hali ilivyo URUSI kupunguza uzalishaji wa mafuta tujiandae kisaikolojia

    Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei. Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies

    Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies. Kichwa cha andiko: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection Link: Numerical Simulation of the Oil Production...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

    ..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango. ..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atembelea Shirika la Mzinga, apongeza kuongezeka uzalishaji mazao

    Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga. Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO yasema imepunguza tatizo la upungufu wa umeme lakini mvua hazijatosha kuongeza uzalishaji

    TANESCO yataja jitihada zinazoendelea kufanyika kukabiliana na hali ya upungufu wa umeme.
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  10. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  12. JamiiForums Tanzania Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  13. JamiiForums Tanzania Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
  14. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  16. JamiiForums Tanzania Marekani achanganyikiwa baada ya nchi za OPEC Plus kutangaza kupunguza uzalishaji wa mafuta

    Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia. Naona...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

    Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia. OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji...
  18. JamiiForums Tanzania Uingereza: Kupanda kwa bei ya nishati vyaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia

    Bei ya nishati ya makaa na ukosefu wa kaboni dioksidi inaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia. Watengenezaji bia wa Uingereza wanakabiliwa na ongezeko la bei mara kumi kwa CO2 wanayotumia kutengenezea kaboni na kufunga bia. ========= Soaring energy prices and lack of carbon dioxide reportedly...
  19. JamiiForums Tanzania Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

    Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake. Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni. Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…