uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kubaki ndani si kigezo cha uzalendo. Kuna mijizi, mifisadi, michokoraa, miuza siri za nchi na mirafi imejaa humu ndani

    Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe. a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Tuwalaumu wazazi wetu hawakutufunza kuipenda Tanganyika na kutujaza uoga kushindwa kuitetea nchi yetu

    Huyu binti kuna namna kazungumza kueleza kwanini nchi yetu kuna sehemu tulifikia kutawaliwa kijinga na mafisadi. Hususani vijana =============== Tuwaraumu wazazi wetu hawakutufunza kuipenda tanganyika walitufundisha uoga walio mezeshwa wakatufanya tuwe waoga hahawakutufundisha kuitete...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mange na Sarungi ni wazalendo kuliko hata Samia! Uzalendo ni vitendo

    Mange na Sarungi ni wazalendo kuliko hata Samia! Uzalendo ni vitendo. Mama pekee na mafisadi wenzake ndiye mnufaika na mauaji na chaguzi fake. Hakuna faida yeyote kwa nchi zaidi ya matumbo yao. Ni bora wale wanaharakati ambao wameacha shughuli za kuwaingizia pesa na kupigania haki kwa vijana...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  5. Criss

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na askari police wameviishi viapo

    Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao. Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana. ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sina shaka na uzalendo wa CDF General Jacob Mkunda na JWTZ yake

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa taifa, na msimamo wa kutanguliza maslahi ya Watanzania ni mambo yanayolifanya JWTZ kuwa taasisi ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  8. canular

    JamiiForums Tanzania Amsha hisia za uzalendo wako Ewe Mtanzania

    Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
  9. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  11. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania JKT ni Shule ya Uongozi na Uzalendo

    Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna tena uzalendo

    Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli. Watanzania hatuna uzalendo kabisa. Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana. Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo .Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa. Jambo hili ni...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakila Ubwabwa Same 'Uzalendo unaanza pale unapojali Afya ya mtu'

    Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa mgombea wao ili wawe na uhalali wa kujipigia kura wenyewe kutokana na kuridhishwa na sera yao ya utoaji wa ubwabwa. Wakizungumza hivi karibuni mara baada...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 60,000 waanza mafunzo ya uzalendo Burkina faso

    Takribani wanafunzi 60,000 waliomaliza elimu ya sekondari nchi Burkina Faso wameanza mafunzo ya uzalendo yatakayodumu kwa mwezi mmoja kama sehemu ya kuwajengea uwezo wa kutetea na kupigania taifa hilo la Afrika magharibi linalokumbwa na changamoto za ghasia za kijahidi, Mpango huo umepanga...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Siasa safi ndio mhimili Mkuu katika Taifa, kwa sababu hujenga umoja, mshikamano, amani, utulivu na uzalendo baina ya watu

    SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa. Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa mfu ,,,,,, niwaombe ndugu zangu watanzania Tusimame imara katika kuhakikisha tunawatumikia watanzania...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wakulima ana hoja nzito ya uzalendo itakayompa kura nyingi

    CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania CHAN:Ushauri wangu kwa SERKALI.TFF.bodi ya ligi waacheni watanzania waingie bure uwanjani .usituuzie uzalendo

    Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure . Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa...
Back
Top Bottom