uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. AbuuMaryam

    Uzalendo ni kwa ajili yetu tu wananchi na Viongozi hili haliwahusu?

    Kwanini kila mzigo tunaangushiwa sisi wananchi...makodi matozo ni yetu tu pekee yetu wananchi wa wa kawaida. Ila viongozi hasa wanaoitwa eti wanatuwakilisha bungeni, wanajitahidi kila sheria na makato na makodi YASIWAGUSE WAO. Nashauri tushinikize mswaada wa raia kwa njia ya poll...Na isukumwe...
  2. Sir robby

    Kwa matukio haya sioni uzalendo na utetezi wa wanyonge wa hayati. Dkt. Magufuli

    Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge? 1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya? 2. Fedha za plea bargain...
  3. tpaul

    Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  4. K

    Tuwalazimishe viongozi wetu kuwa wazalendo na kuishi wanayoyaongea jukwaani

    Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi. Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema. Leo viongozi wetu wako bize...
  5. OLS

    Ni zaidi ya mwaka sasa tukiwa na kodi ya uzalendo

    Nimemaliza kusoma andiko lililochapisha Review of African Political Economy likizungumzia Tanzania's Solidarity Tax, yaani kodi ya uzalendo ambayo ilianzishwa mwaka 2021 robo ya tatu. Mtafiti katika andiko hilo ameweka sababu nyingi ya kuwa Tanzania haihitaji kuwa na tozo ya uzalendo, zifuatazo...
  6. MamaSamia2025

    Wana CCM tumuunge mkono Mbowe, kaonesha uzalendo

    Baada ya kutazama hotuba ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe huko Marekani nimefurahi sana kwa jinsi alivyoonyesha uzalendo. Ikumbukwe Mbowe katoka familia ya mpigania uhuru wa nchi hii hayati Aikaeli Mbowe. Ilikuwa ikishangaza sana kuona Mbowe akiwa kinyume kabisa na maono ya baba yake...
  7. Ng'wamapalala

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  8. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  9. Girland

    Uzalendo ni nini?

    Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo. Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia kinachoitwa "kupungua kwa uzalendo." Kwakuwa JF ni home of Great thinkers iwapendeze kunijibu, je...
  10. L

    Rais Samia atetemesha, apongezwa kila kona kwa uzalendo wake wa kutanguliza mbele taifa

    Ndugu zangu Rais Samia Ameendelea Kudhihirisha kwanini anapendwaa na kukubalika na watanzania,Amethibitisha sababu za mamilioni ya watanzania Kuendelea kumwamini na kumuunga mkono katika juhudi zake za kulijenga Taifa,Amethibitisha sababu za Tanzania Kuendelea kuwa yenye Amani,utulivu ...
  11. L

    Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

    Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma...
  12. BARD AI

    Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

    Askari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini. Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa...
  14. Abdalah Abdulrahman

    Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  15. Tengeneza Njia

    Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

    Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k. Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha...
  16. kavulata

    Hii ndio maana ya uzalendo kwa vitendo

    Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya uzalendo. Hivi ni kweli ni yeye tu aliyekuwa ameiona ndege ikianguka kwenye maji? Tunajua kuna...
  17. GENTAMYCINE

    Kama Jeshi la nchi Moja ni Goi Goi katika Kukabiliana na Majanga je, litaweza Kupambana na Jeshi lenye Uweledi na Uzalendo la Rwanda?

    Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame. Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila...
  18. J

    Pauline Gekul: Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa

    Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D...
  19. Analogia Malenga

    Vijana watembea kilometa 1000 kwa miguu kuonesha uzalendo

    Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa. Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya Rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Nyerere...
Back
Top Bottom