uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. brokenagges

    Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  2. I

    Je Warusi wamekosa uzalendo?

    Warusi wengi wameanza kukimbia nchi yao baada ya Rais Putin kutangaza rasmi kuandikisha wanajeshi wa akiba ili kupambana na Ukraine. Tiketi zote za ndege zimenunuliwa kwa hofu kuwa mipaka inaweza kufungwa na hivyo kupelekea kushindwa kutoroka vita. Putin ametangaza kuanza vita vikali kuipiga...
  3. 44mg44

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na kuajiliwa kwenye ofis za Uma huwa hawapendi wajulikane walikotoka. Wanawake wa Kisukuma ndo wanaongoza...
  4. Jerlamarel

    "In the Name of Uzalendo"

    Tangu JPM alipongia madarakani kuna mambo mengi sana yasiyofaa yamefanyika in the name of uzalendo. Mauzauza yote waliyofanyiwa wenye pesa yalipewa baraka za in the name ofa uzalendo. Mishahara ya watumishi haikupandishwa in the name of uzalendo. Ajira zilisitishwa in the name of uzalendo...
  5. Stranger94

    SoC02 Uzalendo: Watanzania tutengeneze na kuendeleza vya kwetu

    UTANGULIZI Uzalendo ni neno lenye maana pana inayohusisha mapenzi ya dhati na uwajibikaji kwa nchi yako. Tanzania ni moja kati ya nchi kubwa barani Africa yenye mtaji wa watu zaidi ya milioni 60. Tanzania imejitofautisha na nchi zingine duniani kwa mambo mengi ikiwemo lugha adhimu ya...
  6. L

    Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
  7. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  8. Kyambamasimbi

    Naomba kujua tofauti ya uzalendo na Uzuzu

    Ndugu zangu wanajf naomba kujua tofauti ya uzalendo na uzuzu. Naomba kuwasilisha sitegemei mitusi
  9. L

    Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  10. W

    SoC02 Namna wimbo wa taifa tunavyouchukulia ni kukosa uzalendo au ni aibu ya kutokujua?

    Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani, Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa. Ukweli ukiangalia...
  11. Mr Excel

    SoC02 Kigoda cha Uzalendo na Utawala Bora

    Mchezo wa kuhamisha Kigoda kumpatia mwenzako ni rahisi sana wengi wetu tuliucheza utotoni na tuliibuka washindi wa kukaa muda mrefu na kigoda bila ya kutetereka au kukosea na hii ilitupa ujasiri na kukuza ushupavu mbele ya watoto wenzetu. Je, Kigoda Cha uzalendo kwa mtu na mtu hivi sasa upo...
  12. Pascal Mayalla

    Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

    Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!. Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
  13. The Festival

    SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  14. J

    SoC02 Utawala Bora ni Uzalendo sio matokeo ya Siasa wala Diplomasia

    Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama nchi imejiwekea likini siasa nikimnukuu moja kati ya platinum member wa jamii forum akimjibu swali...
  15. J

    Uzalendo Tata

    Tafiti zinaonesha tangu mwaka 2015 na kuendelea kumekuwa na ongezeko la wimbi la watu wanaofanya mambo ambayo kwa watu razini ni ujinga uliokomaa lakini mambo hayo yanachukuliwa kama uzalendo? Kwa mfano kuna kipindi waziri fulani alikuwa akipima samaki na rula lakini kitendo kile kilitafsiriwa...
  16. Stephen Ngalya Chelu

    SoC02 Uzalendo hauji kwa kufundishwa ama kulazimishwa, bali ni matokeo ya Wananchi kuridhishwa na namna nchi inavyoendeshwa

    Utangulizi Uzalendo ni hali ya mtu kulipenda na kulitumikia taifa lake kwa moyo wa dhati. Uzalendo ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote kwa kuwa ndicho kichocheo cha ndani kabisa kwa mwananchi mmoja mmoja kulijenga na kulipigania taifa lake katika nyakati ngumu na nzuri. Hivyo, ni...
  17. William Mshumbusi

    Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

    Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao. Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi...
  18. B

    Kada ni Mzalendo

    Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo. Hivyo kuwa "KADA" sio jambo la lelemama wala jambo la mchezo mchezo ni kuwa mwanajeshi Tena mtiifu na MZALENDO. Usiwe...
  19. R

    Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:- 1. Rais Hussein Mwinyi 2. Bashiru Ally 3. Askofu...
  20. MamaSamia2025

    Spika Tulia kaonesha uzalendo na kujali haki. Nampongeza

    Leo natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu ishu ya wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA ambao walifutwa uanachama hivi karibuni. Na haya maoni ninayoyatoa nikiwa nimejiridhisha kabisa na ukweli kuhusu hili sakata. Ni suala zito linalohitaji kufikiria kwa makini. Mengi...
Back
Top Bottom