Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa.
Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa.
1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea
2. October 29 Mwaka...
Rais Samia ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu kwenye siasa ni vyema washauri wake wamshauri kuwajibika kujiuzulu
Wote tunajua na kutambua uongo na ulaghai wa iNEC kuwa Watanzania 32M walipiga kura
Ni uongo kuwa Samia alipata kura 31M
Ni uongo kuwa Samia Kwa Watanzania zaidi ya...
Hivi ni kweli kabisa?
Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao?
Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?
Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu...
Wino wa Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe.
a). Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe...
Mange na Sarungi ni wazalendo kuliko hata Samia! Uzalendo ni vitendo. Mama pekee na mafisadi wenzake ndiye mnufaika na mauaji na chaguzi fake.
Hakuna faida yeyote kwa nchi zaidi ya matumbo yao. Ni bora wale wanaharakati ambao wameacha shughuli za kuwaingizia pesa na kupigania haki kwa vijana...
Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi.
Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao.
Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana.
ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa taifa, na msimamo wa kutanguliza maslahi ya Watanzania ni mambo yanayolifanya JWTZ kuwa taasisi ya...
Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama .
familia hizo ni
Mwinyi
Samia
Kikwete
Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi
Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
Makala ya Tatu
Ndugu zangu,
Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana .
Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA.
Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.
Watanzania hatuna uzalendo kabisa.
Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo
.Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa.
Jambo hili ni...
Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa mgombea wao ili wawe na uhalali wa kujipigia kura wenyewe kutokana na kuridhishwa na sera yao ya utoaji wa ubwabwa.
Wakizungumza hivi karibuni mara baada...
Takribani wanafunzi 60,000 waliomaliza elimu ya sekondari nchi Burkina Faso wameanza mafunzo ya uzalendo yatakayodumu kwa mwezi mmoja kama sehemu ya kuwajengea uwezo wa kutetea na kupigania taifa hilo la Afrika magharibi linalokumbwa na changamoto za ghasia za kijahidi,
Mpango huo umepanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.