The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.
UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani.
Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024...
Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema.
Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI
🗓️ 27/3/2024
📍 Winterfell, Mwanza
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT
Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC).
Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na...
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu..
Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa kuwatakia Ushindi wa Kishindo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni muunganiko wa Wasanii wote wa Kike wa Sanaa ya Muziki na Uigizaji.
Lengo la kundi hilo ni kuwa...
"Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo."
"Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI KADI 400 ZA UWT ULOWA
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amekabidhi kadi 400 za Umoja wa Wanawake Tanzania katika Jukwaa la Wanawake Kata ya Ulowa ili Wajiunge na Umoja huo wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi kadi hizo...
JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO
Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako.
#UWTJisajiliKidijitali
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA
📍Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024.
Semina...
UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI
RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA
IRINGA
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda (MCC) imeendelea kusimama kidete katika kuhakikisha inamsaidia Mwanamama Maria Ngoda...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali.
Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT Komredi Mwajabu Rajabu Mbwambo wameshirikiana na Uongozi wa UWT Kata Kibada kutembelea kituo cha...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira.
Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.