The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA
Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA
Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa
#Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa.
Katika chaguzi...
Leo Tarehe 13/01/2021, Mhe. Dorothy George Kilave, Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na Makatibu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kutoka katika Kata zote za jimbo la Temeke.
Kikao hiki ni kikao cha Maandalizi ya Program Maalumu ya Uwezeshaji wa Elimu ya Biashara na mikopo Kwa kina mama...
CHONGOLO AWAPONGEZA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar.
Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
NUKUU ZA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA WIKI YA UWT.
"Tumekutana hapa kwa madhumuni makuu mawili, moja ni kuadhimisha kilele cha Wiki ya UWT Kitaifa na jambo la pili ni kumuenzi Hayati Bibi Titi Mohamed na tena aenziwe hapa nyumbani kwake Rufiji"
"Historia ya Bibi Titi Mohamed imeandikwa...
UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) KUMUENZI BI TITI MOHAMED (1926 - 2000)
Leo nimetembelewa na Waandishi Maalum waliokuja nyumbani kwangu tufanye kipindi kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed ambae taifa limeamua kumuenzi kama tangazo linavyoonyesha hapo chini.
Nimejitahidi kumueleza Bi. Titi kadri...
Hamsini kwa Hamsini mnachangia kuidhofisha kama hamuwezi hata jitokeza mkawa wakali kuhusu usukani mlionao.
Hii ni turufu yenu ambayo Mungu aliwapa tangu March 2021.Hakuwambia sasa mshindwe ninyi Bali alisema naamuru na iwe hivi Hamsini kwa Hamsini.
Muna nafasi kubwa yakuandika historia...
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"
Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.