uwt

The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

    MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
  2. Nipe Maji

    Catherine Magige agawa sare 1,300 kwa wajumbe wa UWT Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Arusha. Magige alikabidhi sare hizo mbele ya wajumbe wa baraza hilo lililofanyika mkoani Arusha...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Walioondoka CHADEMA, UWT Njombe yawakaribisha CCM yasema wasije na vurugu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe Dkt. Scholastika Kevela amewataka viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njombe waliojiondoa na Chama hicho kujiunga na CCM akidai kuwa Chama chao kina utaratibu wa kusikilizana. Dkt...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  6. W

    PreGE2025 UWT Geita wasema wapo tayari kumpigia Rais Samia Kura za 'Ndio'

    Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  7. Just Pray

    TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 UWT yafanya dua ya shukrani kwa miaka 4 ya Rais Samia

    Wakuu, Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imefanya Dua Maalum ya Shukrani na Kumuombea Rais Samia kwa Uongozi wake mahili katika kipindi cha Miaka Minne ulioleta maendeleo na neema kwa Taifa la Tanzania na kuongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Mustafa...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  10. upupu255

    PreGE2025 Baraza kuu la UWT Same lampongeza Rais Dkt. Samia

    Baraza kuu la UWT Wilaya ya Same lampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumtunuku cheti Cha Pongezi kwa kazi nzuri anazofanya kwa wanachi huku wakimpongeza kwa kuteuliwa Kuwa Mgombea Pekee wa Nafasi ya Urais na kumuahadi kuendelea kusema Yale mazuri yote aliyofanya ndani ya kipindi...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Zainab Mwamwindi aongoza kikao cha kamati ya utekelezaji mkoa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ofisi za UWT Mkoa wa Iringa.
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti UWT ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura. Soma Pia: Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025 Zainab ametoa wito huo leo Februari 9, 2025...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwanachama UWT: CCM haina haja ya kujielezea maana imeshatekeleza kila kitu

    Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi kupitia Wizara mbalimbali za Serikali. Ameongeza kuwa, uteuzi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  15. mwanamwana

    PreGE2025 UWT: Tundu Lissu zungumza na Rais kwa staha, vinginevyo...

    Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais...
  16. W

    PreGE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

    Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka, Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  17. Stephano Mgendanyi

    UWT Itilima: Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM

    UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Tarehe: 31 Januari 2025 Katika kuadhimisha miaka 48 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Itilima (UWT) ilifanya maadhimisho...
  18. DR HAYA LAND

    Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

    Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
  19. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Katibu Mkuu UWT: Sisi CCM hatujawai kudharau kura ya mwananchi, kushindwa ni mwiko

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani Dodoma kuacha mzaha katika upigaji kura ikiwa ni fursa kwao kuchagua kiongozi bora. Akizungumza na...
  20. M

    Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

    Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili? Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
Back
Top Bottom